Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

There are currently 276 users browsing this thread. (113 members and 163 guests)

Hii inaonyesha jinsi gani wadau mnafuatilia huu mchakato. Nadhani sasa umefika wakati Spika naye akachaguliwa na wananchi wote kwani ni kiungo mhimu sana katika mstakabali wa maendeleo ya uchumi na demokrasia yetu.
 
Hapa viwanja vya Bunge leo pamegeuka gulioni, karibu wabunge wote wapya, wamekuja na ukoo mzima. Wengine wenye vipochi vinene wamekodi mabasi kuwaleta wapiga kura wao. Makundi ya watu, graduation ya chuo ni cha mtoto.

Hahaaa...uheshimiwa kitu ingine bana.
 
SEndeka ndo alikua anabishana na shekifu aliekuwa mkuu wa mkoa wa manyara na sasa wote leo hii ni wabunge!!!
 
Hapa viwanja vya Bunge leo pamegeuka gulioni, karibu wabunge wote wapya, wamekuja na ukoo mzima. Wengine wenye vipochi vinene wamekodi mabasi kuwaleta wapiga kura wao. Makundi ya watu, graduation ya chuo ni cha mtoto.
ni sherehe ya kuapishwa eeeh!??
 
CCM wamejaza wabunge wasio na tija bungeni, akina viki kamata unadhani wanafanya nini huko kama si kujaza tu bunge bila tija, na hao ndo wanaowaangusha wa TZ

Jamani vicky ni chakula ya mzee...........,sasa siametangulia ilimzee akija mambo yawe safi duh! hilinalo mpakamtangaziwe redioni.
 
Vipi shehe yahaya katabiri nani kua mshindi?? au ccm hawakwenda kumuomba utabiri?? hebu malaria sugu atujuze
 
Natamani masikio yangu yasikie kama Anna atashinda na kutangazwa kuwa kuwa spika
 
SEndeka ndo alikua anabishana na shekifu aliekuwa mkuu wa mkoa wa manyara na sasa wote leo hii ni wabunge!!!

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.sasa nimejua kumbe shekif nae ni mbunge,sawa,nifahimishe ni mbunge wa wapi aiseee
 
Hahahaha, hii huwezi kuipata kwenye TV.

Hii kali, pole mkuu

Side news nyingine mkulu.....kuna sehemu maarufu kwa kuku choma chako ni chako...jana nimejivinjari mitaa ya saa nne usiku, wingi wa magari inabidi Traffic waongoze magari kama vile pale ubungo! Kumbuka hapana njia nne kama ubungo pale!
 
Hivi nusu saa haijaisha au kwa saa za hapa saa inakuwa inaenda anticlockwise
 
There are currently 282 users browsing this thread. (115 members and 167 guests)

Duh hii kali.
 
Back
Top Bottom