Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Anna Makinda akichaguliwa kuwa spika ndo mwendelezo wa kifo cha CCM.
 
There are currently 295 users browsing this thread. (127 members and 168 guests)
 
baba tendaaaaa muujizaaaaaa.........

usiache mwaka huu upite bila marando kuwa spika....

tendaa muujizaaa

baba tendaaaa..........

Asante kwa hili pambio.
Huwaga nalipendaga sana!!
 
Duh!!! Thread inakimbia utafikiri Usain Bolt yuko humu ndani
 
We Ngongo Mbona mimi Hukuniweka Kwenye List hiyo?????????????????
Basi najiongeza Hapo Chini
There are currently 282 users browsing this thread. (115 members and 167 guests)

Duh hii kali.

mageuzi92
 
jamani bado tu dk 42 sasa tangu wamalize kupiga kura
 
There are currently 324 users browsing this thread. (141 members and 183 guests)...and counting wanafuatilia mchakato huu
 
Kura zimemalizwa kuhesabiwa wako wanaweka mambo sawa kwa sasa soon mtapata matokeo
 
Back
Top Bottom