Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Wakati tuna subiri kura zihesabiwa ni vyema tukajikumbusha historia ya bunge hili...........................Bunge la Uhuru hadi la mwaka 1965 lilikuwa ni bunge la vyama vingi......................lakini kuanzia mwaka 1965 - 1995 lilikuwa la mfumo wa chama kimoja.....................kuanzia mwaka 1995 hadi leo ni bunge la vyama vingi................................................nyakati zote bunge limekuwa likipambana kudai uhuru zaidi kutaka katika mshiko ya serikali kuu.............................................
baadhi ya maeneo ambayo bunge limefanikiwa ni kuweza kuhoja matumizi ya serikali na hata kuizuia serikali kutekeleza mambo fulani fulani ambayo bunge limeona hayana masilahi kwa taifa.............................
Hata hiyo bunge hadi leo halisimamii kalenda yake na hupangiwa na serikali kuu.................Raisi bado ana mamlaka ya kulivunja bunge..................Raisi anao uwezo wa kulipngia Bunge kalenda ya lini kukutana kama kikao hiki kimeitishwa na Raisi badala ya bunge lenyewe....................Haya yote yenye kuonyesha mashiko ya serikali kuu dhidi ya bunge letu yanathibitisha ya kuwa bunge letu bado siyo huru kinyume na misingi ya mfumo wa vyama vingi................................
Hata ushiriki wa wabunge serikalini kwenye nyadhifa za uwaziri, ukuu wa mikoa, uenyeviti wa taasisi mbalimbali za umma kunaidhoofisha bunge kuwa kama ni chombo cha serikali kuu badala ya chombo ambacho kina mamlaka ya kuisimamia serikali kuu...............
bado tunasubiri matokeo na hili gumzo siyo baya kupoteza muda kidogo...........................