Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

wewe nywi hujui kama huu ndio utaratibu,kuchelesha matokeo nikawaida asana kwa tanzania.

usiwe na haraka sana, uchakachuaji unaendelea, kama vipi tuwambie walioko dodoma waandamane maana bila hivo matokeo mpaka keshokutwa.
 
Nipo hapa jijini TANGA, baadae narudi DAR, naona hapa ni gahawa na kashata tu! vijiredio vya kichina vinasikilizwa ili kupata matokeo ya huko
 
Ningependa sana Marando awe spika, lakini navyowajua wabunge wa CCM hawana utaifa bali wana maslahi ya chama, so mpaka sasa natambua spika atatoka CCM tu
 
Haya sasa wakati wa kumtangaza mshindi ndo huu sasa!
 
Labda muheshimiwa watoto wa ndege yaani mak... kapigwa pindu sasa wanaangalia namna ya kum-please
 
There are currently 327 users browsing this thread. (138 members and 189 guests)
 
Back
Top Bottom