The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Haya sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usisahau kuweka pic bwana na sisi tupate vituko vya huko!.Hawa wabunge wa viti maalum wa CCM ambao ni vibinti, wanaleta urembo bungeni, si vikuku!. Halafu wanaringa na kujisikia sana. Kuna baadhi tunafahamiana leo wanatuchunia, eti kwa vile ni waheshimiwa, hawasalimii tena, lazima wasalimiwe.
Nipo naangalia bunge hili katika kuchagua Spika. ishara niliyoona ni kwamba bado tuna wabunge wanaohitaji brush ya uelewa.
wamemuuliza marando maswali ya kwamba alikuwa anatumia lugha kali lakini kawajibu kuwa kama angekiuka maadili ya uchaguzi angeshitakiwa.
yeye marando kasimamia katika kusimamia kanuni, katika na kusaidia kutafsiri sheria bungeni.
yeye anna makinda kasimamia katika kuleta msimamo na umoja bungeni katika kutetea maslahi ya taifa. japo sina hakika sana.
kashakash zimetokea pale amabapo mwenyekiti alitaka kuruhusu muuliza swali atumie mike ya marando ndipo kabwe alichachamaa kama kawaida yake.
kuna kazi kubwa ijayo.. tunaweza kuishia katika kutetea vyama badala ya wananchi.
nitawapatia matokea maana kura zinahesabiwa.. na tutaona ni aina gani ya bunge tutakuwa nalo baada ya hapa.. naamini hakutakuwa na uchakachuaji mbele ya halima mdee amabaye ni mwakilishi wa marando.
anajua hesabu kweli au ataambiwa na Makamba, Marando mwandikie 100 na Anna 210 harafu zingine zime halibika....malaria sugu anahesabu kura
Ningependa sana Marando awe spika, lakini navyowajua wabunge wa CCM hawana utaifa bali wana maslahi ya chama, so mpaka sasa natambua spika atatoka CCM tu
.Hawa wabunge wa viti maalum wa CCM ambao ni vibinti, wanaleta urembo bungeni, si vikuku!. Halafu wanaringa na kujisikia sana. Kuna baadhi tunafahamiana leo wanatuchunia, eti kwa vile ni waheshimiwa, hawasalimii tena, lazima wasalimiwe.
Kaeni mkao wa kumjua spika jamani bunge limeresume rasmi sasa,,,,ndo wanaingia bungeni
Wamechelewa kutangaza ile formula ya % iliwapiga chenga kidogo