Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Haya msimamizi wa uchaguzi anakaribishwa sasa......
 
Salamu wana JF,

Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanaofatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news.

na alieshinda ni .....................................................................................
 
10, 9, 8, 7, 6, 5.................................................!!!!!!

Wanataka kuchakachua nini?? Maana hawa jamaa na 80 % sijui ina maana gani kwao!!
 
Wangekuwa wako tarime najua matokeo yangekuwa yamieshatoka fasta
 
anuni ya 9....mgombea anatakiwa apate zaidi ya nusu, kama kura zikifungamana uchaguzi unarudiwa.....

enhe.....


Matokeo...

Kura jumla 327
zilizoharibika 9,

Anna...kura 265....SPIKA 74.2%

Marando.....kura 53

SPika ANA MAKINA

Kazi kwisha
 
Hatimaye uchaguzi wa spika umefanyika, na Anna Makinda amekuwa ndio spika wa kwanza mwanamke tangu Uhuru kwa kupata kura 265 dhidi ya kura 53 za Mabere Nyaucho Marando.
:israel:
 
Matokeo:
Zilizopigwa-327
Zilizoharibika-9
Marando-53(16%)
Anne-265(74%)
 
Anna Makinda achaguliwa kwa kura 265 =74.2% zidi ya Marando kura 53=16.2%
Kanuni ya 9 fasili ya 13 ya bunge zaidi ya nusu ni mshindi 327 total votes

Mdee ndo alikuwa wakala wa Marando naona makinda alisimamiwa na jirani yake wa Ludewa.
Nchi kama Botswana,Ghana.India and Mozambique maspeaker wao ni wanawake

Tutarajie ubabe toka kwa uyu mama na utetezi wa CCM
 
Kwa majonzi naripoti kuwa Ana Makinda amechaguliwa kuwa spika mpya
 
Matokea makinda awa spika rasimi anashangiliwa ile mbaya
anna makinda 265 74.2%
Mabere 53 16.2
Zimeharibika 9
 
Back
Top Bottom