Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hata kwa waheshimiwa hawa kura zinaharibika? Nchi hii tumekwisha!Matokeo:
Zilizopigwa-327
Zilizoharibika-9
Marando-53(16%)
Anne-265(74%)
Vipi kimeshaeleweka??
Aisee! Mbona kama kioja vile? Kura 53 tu (ambazo na-assume ni za kutoka opposition)??anuni ya 9....mgombea anatakiwa apate zaidi ya nusu, kama kura zikifungamana uchaguzi unarudiwa.....
enhe.....
Matokeo...
Kura jumla 327
zilizoharibika 9,
Anna...kura 265....SPIKA 74.2%
Marando.....kura 53
SPika ANA MAKINA
Kazi kwisha
rushine habari basi.
Hatimaye uchaguzi wa spika umefanyika, na Anna Makinda amekuwa ndio spika wa kwanza mwanamke tangu Uhuru kwa kupata kura 265 dhidi ya kura 53 za Mabere Nyaucho Marando.
:israel:
Anna Makinda achaguliwa kwa kura 265 =74.2% zidi ya Marando kura 53=16.2%
Kanuni ya 9 fasili ya 13 ya bunge zaidi ya nusu ni mshindi 327 total votes
Mdee ndo alikuwa wakala wa Marando naona makinda alisimamiwa na jirani yake wa Ludewa.
Nchi kama Botswana,Ghana.India and Mozambique maspeaker wao ni wanawake
Tutarajie ubabe toka kwa uyu mama na utetezi wa CCM