Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Kura 327 zinahesabiwa kwa saa moja. kulikuwa na nini?
 
Kura 53 alizopata marando ina maana hakupigiwa na wabunge zaidi ya chadema?? WABUNGE WOTE WANAJUA HAKI ZAO SO AKIKOROGA MAMBO NYIE MTAONA
 
chadema ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? Ccm wote, wapinzani wengine wote na baadhi ya chadema wameunga mkono mgombea wa ccm. This can tell what to expect in the next 5 years.

chadema ina wabunge 45
 
namuonea huruma huyo mama..! USILIE LAKINI...!
manake hachelewi kusema wananionea kwa sababu mm ni BINTI
 
Anaifurahia post lakini mbele ya safari atajutia kwani changamoto zitakuwa kubwa kuliko kipindi chote tokea tupate uhuru
 
Anaapa sasa....kuwa mwaminifu kwa jamhuri ya Muungano wa tanzania (hivi ule uaminifu mwengine wanaapiaga wapi)
 
Ndo maana nasema hatuna wapinzani nje ya chadema, yaani wapinzani wengine wamempa huyu mama kura?

Kwa hili Kaka inabidi chadema watangaze rasmi kutoshirikiana na chama chochote cha Upinzani bungeni
 
mama anaapa sasa kuwa mwaminifu kwa katiba na jamhuri
then ataapa kile kiapo cha spika
 
Ndo maana nasema hatuna wapinzani nje ya chadema, yaani wapinzani wengine wamempa huyu mama kura?


Si mmmeona mnajitosheleza? au ubinafsi wenu hamuuoni!!!!! nimekereka sana na hili kwani hamkujua kuwa kwa kuwa na asilimia 12% hamwezi kushinda uspika?:A S angry:

Mkurugenzi wa Masuala ya Bunge wa Chadema, John Mrema aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa chama hicho kimemteua Mbowe kuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni, Naibu wake ni Zitto na Tundu Lisu anakuwa Mnadhimu Mkuu.Mbowe ni Mbunge mteule wa jimbo la Hai, Zitto Kigoma Kaskazini na Tundu Lissu, Singida Mashariki.


"Tuna asilimia 12.5 ya wabunge na hiyo inatupa nafasi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni," alisema Mrema.

Source: Mwananchi
 
CHADEMA ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? CCM wote, Wapinzani wengine wote na baadhi ya CHADEMA wameunga mkono mgombea wa CCM. This can tell what to expect in the next 5 years.

CHADEMA ina wabunge 45 kaka Marando kapata 53
 
Mbona wapinzani wanatuangusha, wapo zaidi ya 80 lakini mbona Marando amepata 53? Du kweli Tanzania tuna safari ndefu kufikia mabadiliko ya kweli.
 
Back
Top Bottom