Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Kura 53 alizopata marando ina maana hakupigiwa na wabunge zaidi ya chadema??
 
Anna Makinda kura 265

Mabere Marando kura 53

Kura zilizoharibika 9
 
Marando asingeweza kushinda kwanza kuna kambi mbili za upinzani hiyo ni sababu tosha kumwangusha.Ina maana kuna baadhi ya wapinzani hawakumpigia kura Marando.
 
Anne Makinda amepata kura 265, inaonekana hata baadhi ya wapinzani wamemchagua makinda, ushirikiano wa vyama vya upinzani una walakini.
 
Duh hata kwa waheshimiwa hawa kura zinaharibika? Nchi hii tumekwisha!
Nilitarajia kura kuharibika 6-10 na imekuwa hivyo.

Kuharibika kura kwa hawa jamaa hakumaanishi kutokuwa na elimu ya uraia... HAPANA, kuna zaidi ya hivyo
 
Nilijua matokeo yatakuwa hivi. Sasa twaelekeza nguvu zetu nje ya bunge na ngoja tuone itakuwaje kabla hatujapanga kumg'oa yeye mwenyewe Makinda kule jimboni kwake
 
CHADEMA ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? CCM wote, Wapinzani wengine wote na baadhi ya CHADEMA wameunga mkono mgombea wa CCM. This can tell what to expect in the next 5 years.
 
Mh Anna Makinda ameshinda uspika wa bunge kwa 74% na Mabere Marando amepata kura 53 sawa na 16.2%:sad:
 
Nafuatilia. Vyama vya upinzani ni bogus kabisa, maana Mabere amepata kura chini ya idadi ya kura za wabunge wa vyama vya upinzani.
CHADEMA 22 + 23 = 45
NNCR 4
UDP 1
TLP 1
CUF 23 + 8 = 31
Jumla ya wabunge wa upinzani ni 82
Mabere amepata kura 53
Kuna shida kubwa kwa upande wa vyama vya upinzani
 
Back
Top Bottom