Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

hatimaye uchaguzi wa spika umefanyika, na anna makinda amekuwa ndio spika wa kwanza mwanamke tangu uhuru kwa kupata kura 235 dhidi ya kura 53 za mabere nyaucho marando.
:israel:

whaaaaaaaaaaaaaaat!
 
Ni wazi kwamba Marando kapigiwa na CHADEMA na wachache!!
 
Anna Makinda kura 265

Mabere Marando kura 53

Kura zilizoharibika 9
 
Maana yake ni kwamba,,,,, kuna wabunge wa CUF wamepiga kura kwa MAELEKEZO maalum maanake upinzani jumla wapo zaidi ya 90

Kwa hivi ushirikiano wanaoutaka bungeni utakuwa mdogo sana...

back to MMU....
 
Back
Top Bottom