Ameshinda Makinda kwa kura ngapi, nimechelewa kusikia hilo
kashinda kwa 265 huyu mtu anafanya sasa niangalie tena vipindi vya bunge,amemchongea sitta iliapewe .duh siasa ni noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshinda Makinda kwa kura ngapi, nimechelewa kusikia hilo
Can you dare to talk openly how?Nilitarajia kura kuharibika 6-10 na imekuwa hivyo.
Kuharibika kura kwa hawa jamaa hakumaanishi kutokuwa na elimu ya uraia... HAPANA, kuna zaidi ya hivyo
265...some post za nyuma...
Anna Makinda achaguliwa kwa kura 265 =74.2% zidi ya Marando kura 53=16.2%
Kanuni ya 9 fasili ya 13 ya bunge zaidi ya nusu ni mshindi 327 total votes
Mdee ndo alikuwa wakala wa Marando naona makinda alisimamiwa na jirani yake wa Ludewa.
Nchi kama Botswana,Ghana.India and Mozambique maspeaker wao ni wanawake
Tutarajie ubabe toka kwa uyu mama na utetezi wa CCM
Hatimaye uchaguzi wa spika umefanyika, na Anna Makinda amekuwa ndio spika wa kwanza mwanamke tangu Uhuru kwa kupata kura 265 dhidi ya kura 53 za Mabere Nyaucho Marando.
:israel:
Huyu mama huwa ni mkali na mpendelevu, lakini UPINZANI UTAPAMBANA NAYE TU.
Mbona wapinzani wanatuangusha, wapo zaidi ya 80 lakini mbona Marando amepata 53? Du kweli Tanzania tuna safari ndefu kufikia mabadiliko ya kweli.
kumbe cuf ni ccm-b??
Mbona wapinzani wanatuangusha, wapo zaidi ya 80 lakini mbona Marando amepata 53? Du kweli Tanzania tuna safari ndefu kufikia mabadiliko ya kweli.