Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapinzani wapi? nani aliwaambia CUF ni wapinzani? mmeshambiwa ni ccm Pemba wing, mnakataa, sasa si mmejionea wenyewe?wapinzani kumbe niwasenge hawa, tatizo wananjaa sana ,wakipewa pesa tu wananunuliwa ******* wakubwa hawa.
kk Vincent, Upinzani upo CHADEMA tu, CUF walishafunga ndoa na CCM; au ww mgeni nchi hii!!!?
Nafuatilia. Vyama vya upinzani ni bogus kabisa, maana Mabere amepata kura chini ya idadi ya kura za wabunge wa vyama vya upinzani.
CHADEMA 22 + 23 = 45
NNCR 4
UDP 1
TLP 1
CUF 23 + 8 = 31
Jumla ya wabunge wa upinzani ni 82
Mabere amepata kura 53
Kuna shida kubwa kwa upande wa vyama vya upinzani
CHADEMA ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? CCM wote, Wapinzani wengine wote na baadhi ya CHADEMA wameunga mkono mgombea wa CCM. This can tell what to expect in the next 5 years.
Kwa hesabu hizi Kweli CUF=CCManuni ya 9....mgombea anatakiwa apate zaidi ya nusu, kama kura zikifungamana uchaguzi unarudiwa.....
enhe.....
Matokeo...
Kura jumla 327
zilizoharibika 9,
Anna...kura 265....SPIKA 74.2%
Marando.....kura 53
SPika ANA MAKINA
Kazi kwisha
Jana usiku niliambiwa na impeccable source kwamba MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD alitoa maelekezo maalum kwa wabunge wa CUF kumpigia kura mgombea wa CCM. Kwa hesabu hii ya kura naamini ndicho kilichotokea. Hii maana yake ni kwamba chama pekee cha upinzani kilichobaki ni CHADEMA. Tuungane tuijenge CHADEMA ili iwe mkombozi wa kweli wa Watanzania. To hell with CUF, to hell with HAMAD, the hyprocrite!
Akili yako ina kasoro. Chadema ina wabunge 45Yaani hata ndani ya chadema wanatosana wenyewe kwa wenyewe!!!
Yaani i don't belive kama CUF wamempigia kura Anna makinda??? duuu
Halafu eti tunaota vyama vya upinzani kuungana, CCM wataendelea kutukalia mpaka mwisho wa dahari huu ni ujinga wa kutupwa. Naweza sema kuitoa CCM madarakani sasa inataka kuwa ni ndoto kabisaaaaaaaa
anna makinda kura 265
mabere marando kura 53
kura zilizoharibika 9