Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Mabere marando ame2pwa kwenye kinyanganyiro cha uspika so 2tarajie ubabe wa makinda ili kunusuru chama chao lakin wapinzan wa ukweli kama chadema watamfundisha kazi manake 2namjua vizuri sana
 
Hukumu ya CUF inaandaliwa 2015. tumeisha wajua kumbe ni CCM B.
 
Jana usiku niliambiwa na impeccable source kwamba MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD alitoa maelekezo maalum kwa wabunge wa CUF kumpigia kura mgombea wa CCM. Kwa hesabu hii ya kura naamini ndicho kilichotokea. Hii maana yake ni kwamba chama pekee cha upinzani kilichobaki ni CHADEMA. Tuungane tuijenge CHADEMA ili iwe mkombozi wa kweli wa Watanzania. To hell with CUF, to hell with HAMAD, the hyprocrite!
 
Inji hii sasa iankoelekea ni kule tulikoambiwa sisi ni majuha.Naamini kama kuna mtu anayeshangilia leo ni Lowasa baada ya kuona hila zake za kuendesha nchi kwa remote zimefanikiwa
 
wengine wanatoka bila kuaga humu...wakuu kama vipi mida tunashukuru kwa kutuhabarisha yaliyojiri viwanja vya bunge!
 
Kweli KAFU si lolote si chochote ni vikaragosi tu vya sisiemu

It took America hundreds of years to attain the democracy they have. We are hardly a half a century. May be with science and technology, we may get their earlier or much latter if we can be easily spoiled as faster as the technology changes in the same tune.

Mungu ana sababu ya Makusudi, si bure.
 
hivi kumbe kuna watu ndani humu hawajui chadema ina wabunge wangapi?!!

jitu linaropoka tu!!!
Ni lifanyakazi la Rostam Aziz media. Halijui hata dataz za ubunge ndio utaona wanaandika mambo ya ajabu kwenye RAI na Mtanzania
 
Mabere marando ame2pwa kwenye kinyanganyiro cha uspika so 2tarajie ubabe wa makinda ili kunusuru chama chao lakin wapinzan wa ukweli kama chadema watamfundisha kazi manake 2namjua vizuri sana


Akileta ubabe wa kijinga kwa kukataa hoja za wapiganaji, tunaenda kumshtaki kwa wananchi Mwembe Yanga.
 
ni ushabiki lakini jamani marando anafaa kuliko huyo headmistress
Hana sifa, ila kwa sababu watanzania ni wadanganyika basi watadanganyika, walioua NCCR mageuzi ni akina nani??, na kipindi kile anabebwa na ccm kwenda bunge la Afrika Mashariki wapinzani wa kipindi hicho walisemaje, leo anabwabwaja mnazani ni mtu makini haya, yetu macho.
 
Amepata kura za chadema pekeyake, sasa hapa kazi ipo na cjui huo upinzani ndani ya bunge kama kutakuwa na upinzani wa nguvu kwa chama tawala,
 
Marando kapata kura 53, yaani ni 45 za chadema 8 toka kwa wapiganaji ndani ya CCM tu, NCCR-0 TLP-0 CUF -0. Tujue tunawapiganaje 53 tu katika bunge hili.Mungu ibariki Tanzania
 
CHADEMA ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? CCM wote, Wapinzani wengine wote na baadhi ya CHADEMA wameunga mkono mgombea wa CCM. This can tell what to expect in the next 5 years.
Amka mkuu, mbona umelala hivyo? CHADEMA haina wabunge 56.
 
Back
Top Bottom