Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

kk Vincent, Upinzani upo CHADEMA tu, CUF walishafunga ndoa na CCM; au ww mgeni nchi hii!!!?
 
CCM kuna ushabiki wa ajabu sanaaa, ina maana hata Chenge angepitishwa na CC ya CCM wabunge wangempitisha kuwa Spika?
 
Nilitarajia kura kuharibika 6-10 na imekuwa hivyo.

Kuharibika kura kwa hawa jamaa hakumaanishi kutokuwa na elimu ya uraia... HAPANA, kuna zaidi ya hivyo

Lakini vile vile si unajuwa wabunge wetu wengine tena.......................Especially wa Chama Tawala!! Anything is Possible hapa!!!!
 
Anaapa sasa....kuwa mwaminifu kwa jamhuri ya Muungano wa tanzania (hivi ule uaminifu mwengine wanaapiaga wapi)
Hommie sasa tumekwisha.....ngoja nikatulize stress kule kwa mama Big..:bowl:
 
Mbona wapinzani wanatuangusha, wapo zaidi ya 80 lakini mbona Marando amepata 53? Du kweli Tanzania tuna safari ndefu kufikia mabadiliko ya kweli.
Sasa nimejua ukweli kuhusu bandiko hili la Dr Slaa jana.
quote_icon.png
Originally Posted by Dr.W.Slaa
Kanyagio,
Thanks. Napenda tu kusema kuwa kushirikiana ni maridhiano ya pande husika. Upande mmoja hata ungelitamani kiasi gani, mashirikiano hayatawezekana iwapo upande wa pili hautaki, au kama malengo na ajenda zinatofautiana. Wengi tunajadiliana, lakini kwa bahati mbaya details nyingi hamzifahamu, na hatua ambazo Chadema tumekwisha kuchukua kuwaomba wenzetu wakubali kushirikiana nao. Kwa Taarifa yenu, CUF imetuandikia barua kuiunga mkono Chadema kwa suala la Uspika. Taarifa zisizorasmi zinazotufikia sasa ni kuwa Wabunge wa CUF wamaelekezwa kutoka Zanzibar kuwa Wasiingue mkono Chadema. Yetu macho tutazame nini kitatokea katika upigaji kura wa Uspika. Hapo ndipo tutajua ukweli wote. Ni imani yangu kuwa CUF watashikilia msimamo wao ambao uko kwa Maandishi kuwa wataunga mkono mgombea wa Chadema wa Uspika. Maslahi ya Taifa letu ni makubwa zaidi kuliko maslahi ya vyama vyetu au yetu binafsi. Ni pale tutakapotambua ukweli huo na kuuweka kwenye matendo yetu, ushabiki wa vyama pekee hauwezi kupeleka Taifa hili mbele. Kama yanayosemwa ni kweli kuhusu ufisadi kubwa katika kumweka "Spika" kwa upande wa CCM, basi Taifa linazidi kuporomoka. Tusipende ushabiki zaidi, bali tufanye utafiti kwa kila jambo na tutajua ukweli umesimama wapi.
 
Jana usiku niliambiwa na impeccable source kwamba MAALIM SEIF SHARRIF HAMAD alitoa maelekezo maalum kwa wabunge wa CUF kumpigia kura mgombea wa CCM. Kwa hesabu hii ya kura naamini ndicho kilichotokea. Hii maana yake ni kwamba chama pekee cha upinzani kilichobaki ni CHADEMA. Tuungane tuijenge CHADEMA ili iwe mkombozi wa kweli wa Watanzania. To hell with CUF, to hell with HAMAD, the hyprocrite!

Dr. SLAA alilisema hilo hapa
 
Wabunge wa Upinzani hakuna zaidi ya wabunge 8 na wa CHADEMA tu, wengine wote CCM. Hasa CUF huwa wananisikitisha sana, baada ya mwafaka Zanzibar washajiona nao ni part ya chama tawala na sio wapinzani tena. Wanaalikwa kuunda serikali kivuli hawataki. Uspika wanaipa CCM, wananchi mnaona haya lakini?
 
kazi kweli kweli kwa miaka hii mitano. na jambo la kwanza atakalo fanya ni kumkomoa 6 kwa yale aliyokuwa anamtendea
 
Yaani i don't belive kama CUF wamempigia kura Anna makinda??? duuu
 
CHADEMA ina wabunge 56. Marando amepata kura 53. Whats going on? CCM wote, Wapinzani wengine wote na baadhi ya CHADEMA wameunga mkono mgombea wa CCM. This can tell what to expect in the next 5 years.


Yaani hata ndani ya chadema wanatosana wenyewe kwa wenyewe!!!
 
Jamani hawa jamaa wa CUF yaani wamegoma kabisa kumpa kura Marando?? Kweli nimeamini wao nao ni kama Lyatonga Mrema (watoto wa CCM kwa nyumba ndogo). Sasa wale washikaji wetu MAFISADI mambo lainiiii.

Halafu eti tunaota vyama vya upinzani kuungana, CCM wataendelea kutukalia mpaka mwisho wa dahari huu ni ujinga wa kutupwa. Naweza sema kuitoa CCM madarakani sasa inataka kuwa ni ndoto kabisaaaaaaaa
 
CHADEMA Ina wabunge 45, CUF , NCCR UDP na TLP walishakataa kujiunga na chadema. So kura za Marando zote ni za CHADEMA. Hawa wapinzani wengine wamejaa njaa 2. Njaa zitawaua. CHADEMA tusonge mbele wala msijali, tutawang'oa 2 hawa mafisadi
 
CCM kuna ushabiki wa ajabu sanaaa, ina maana hata Chenge angepitishwa na CC ya CCM wabunge wangempitisha kuwa Spika?

Kwa CCM hili linawezekana wao hawaangalii utendaji kazi wao wanaangalia masrahi yao na kichama zaidi
 
Back
Top Bottom