Pre GE2025 Uchaguzi wa Tanzania 2025 ni vita vya kijasusi ya mashirika makubwa ya Ulaya, Amerika dhidi ya Russia na Mataifa ya kiarabu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe jamaa umefikiria nje ya box kama mimi, uchaguzi mkuu2025 ni mwepesi mno kwa CCM kushinda kama hayo majamaa yasipo ingilia.

Sio kwamba watu wanaipenda CCM sema tu wapinzani na raia hawajui cha kufanya wakati CCM inajua kufanya uchafuzi mkuu.

Spika aliulizwa yale maswali makusudi tu ili US na ulaya wajue where the wind is blowing maana maza aliwaletea kibesi kwenye sakata la utekaji.

Saivi tayari washajua nadhani huko CCM 2025 kutawaka moto maana naona CCM ndo itakuwa silaha ya kuiangusha CCM aliwahi kusema Nyerere kuhusu hili.
 
Sijajua kama mwenyekiti ana uwezo gani ku digest material na hasa kinachotokea Kwa Palestine kwasasa baada ya kumchokoza Israel na washirika wake!!

Waliokaribu yake wamwambie mapema uchaguzi ujao sio CCM vs chadema Bali CIA,M16,Mossad vs KGB plus washirika wake mataifa ya kiarabu!!

Mzee wa msoga atakua anaijua hii Ngoma vizuri!!

Mzee wa mamvi alipowatumia wale vijana wa kizungu wakati wa kuhesabu kura na kuwachanganya CCM ni Obama alieombwa na kikwete amsaidie walipo wale vijana ndio Kova akawakamata na CCM Wakachakachua kura !!!

Ngoja tuone safari hii!!

Yule kigogo aliwahi lopoka eti kura za chura kiziwi zipo kwenye jeneza tayari zimeshaandaliwa !NIKAJIULIZA MASWALI!KWENYE JENEZA!!!?

LABDA NI UONGO!
 
17 October 2024
Geneva, Switzerland 🇨🇭

KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA YA MAJUTO


View: https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI
Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko wa makundi kujitokeza.

Dunia imetekwa nyara na mitizamo kinzani ya ki Geopolitics imejitokeza.

Baraza la IPU limeshindwa kukubaliana kuhusu hali iliyopo eneo la Mashariki ya Kati.

Kamati maalum imeundwa kufuatilia hali hii iliyojichomoza.
Majadiliano moto yaliyotokea katika baraza hili la IPU ndiyo hali inayotakiwa vibrant

Nachukua nafasi hii kutangaza kuwa kikao hiki cha 149 hapa Geneva kimefungwa. Na kuwa kikao kitachofuata mwakani kitafanyika nchini Uzbekistan .

Naomba wimbo maalum wa IPU upigwe kuashiria hitimisho la kikao tukiagana, na majaliwa ya mungu tutakutana nchini Uzbekistan mwakani kwa kikao kijacho cha 150 ..

Inter-Parliamentary Union
https://www.ipu.org › event › 150th...
150th IPU Assembly and related meetings

150th IPU Assembly and related meetings, Saturday, 5 April 2025 - Wednesday, 9 April 2025, Tashkent, Uzbekistan
 
Wewe siuache wanachukua chako mapema mikono iungulie kwenye mchuzi wa moto wa kuku wa kukwapua wa jirani.
 
Machawa watakuelewa? Na huyo mama?
 
Hadithi zenu pelekeni huko kwenye vijiwe vya kahawa
 
Interesting... soma
Interesting but relax my friend.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ccm idhitibiti mashirika ya kijasusi ya America na Europe kama nani? Nimeishia tuhapo sijaendelea kusoma?!
 
Speculative although sisi tuko in the middle of the battlefield

I agree also nguvu inayotumika against upinzani ni kubwa while upinzani wenyewe hauko na direction …. Ni kuwaacha wamalizane wenyewe

ILA issue ya tulia…. Umekosea

Hata kama rais wa IPU angekua anatoka Siberia, Bado angeshambuliwa the same
 
Ccm idhitibiti mashirika ya kijasusi ya America na Europe kama nani? Nimeishia tuhapo sijaendelea kusoma?!
Nimeandika kutoa"angalizo"jambo ambalo haliwezekani najua!!
Je wapo tayari kumuingiza asie na baraka ya hayo mashirika!!?

Hapo ndipo wazee wa chama wanapaswa kuumiza kichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…