Labda!Tetesi nilizosikia eti Kuna ka mti kameota kareeefu sana karibu na karibu la hayati !!!ya kweli hayo!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda!Tetesi nilizosikia eti Kuna ka mti kameota kareeefu sana karibu na karibu la hayati !!!ya kweli hayo!!?
Wewe jamaa umefikiria nje ya box kama mimi, uchaguzi mkuu2025 ni mwepesi mno kwa CCM kushinda kama hayo majamaa yasipo ingilia.Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Kuna Askofu na Mbunge wa kawe kaweka Bendera israel kwenye kanisa lake !sijui ndio nini!!?Aisee
Sijajua kama mwenyekiti ana uwezo gani ku digest material na hasa kinachotokea Kwa Palestine kwasasa baada ya kumchokoza Israel na washirika wake!!Wewe jamaa umefikiria nje ya box kama mimi, uchaguzi mkuu2025 ni mwepesi mno kwa CCM kushinda kama hayo majamaa yasipo ingilia.
Sio kwamba watu wanaipenda CCM sema tu wapinzani na raia hawajui cha kufanya wakati CCM inajua kufanya uchafuzi mkuu.
Spika aliuliza yale maswali makusudi tu ili US na ulaya wajue where the wind is blowing maana maza aliwaletea kibesi kwenye sakata la utekaji.
Saivi tayari washajua nadhani huko CCM 2025 kutawaka moto maana naoma CCM ndo itakuwa silaha ya kuiangusha CCM aliwahi kusema Nyerere kuhusu hili.
wakiwauaNikiweka haoa list ya viongozi Wa Africa waliouliwa na USA secret service mtakimbia
Yaani niache kuangalia Al jazeera hapa sebuleni kwangu nianze kukimbia eti kisa umeweka orodha sijui ya US!Nikiweka haoa list ya viongozi Wa Africa waliouliwa na USA secret service mtakimbia
Wewe siuache wanachukua chako mapema mikono iungulie kwenye mchuzi wa moto wa kuku wa kukwapua wa jirani.Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Machawa watakuelewa? Na huyo mama?Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Hadithi zenu pelekeni huko kwenye vijiwe vya kahawaNimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Interesting... somaNimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Interesting but relax my friend.Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Ccm idhitibiti mashirika ya kijasusi ya America na Europe kama nani? Nimeishia tuhapo sijaendelea kusoma?!Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Namjua tu Gadaf wa Libya.Nikiweka haoa list ya viongozi Wa Africa waliouliwa na USA secret service mtakimbia
Speculative although sisi tuko in the middle of the battlefieldNimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!
Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!
Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!
Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!
Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!
Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!
Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!
Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.
Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!
Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!
Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!
Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!
Nimeandika kutoa"angalizo"jambo ambalo haliwezekani najua!!Ccm idhitibiti mashirika ya kijasusi ya America na Europe kama nani? Nimeishia tuhapo sijaendelea kusoma?!
Na KATO WA chato eti anataka kumaanisha!Weka mkuu
Namjua tu Gadaf wa Libya.
Huyu nasikia kashughulikiwa na mtangilizi wake.Na KATO WA chato eti anataka kumaanisha!