Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Karia na Wambura wote ni Simba damu.
Sasa matopeni chezeni mpira visingizio vya Malinzi havitakuwepo tena.

Kamati ya mashindano ilijaa watu wenu lakini kila kitu ilikuwa Malinzi hiki, Malinzi kile.
Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] Tumekuja kuwashika..!
 
Hakuna kureseat?
 
Uchaguzi TFF

Kura ziliopigwa-128
Zilizoharibika-3

Iman Madega- 8
Mwakalebela- 3
Emmanuel Kimbe- 1
Shija Richard- 9
Ally Mayay- 9
Karia- 95
Ilikuwa inajulikana karia angeshinda kwa kishindo ndio maana Madega alikuwa anamuwekea pingamizi makusudi haha madega alijuwa tu

Mayay ana ushawishi nje ila sio kwa wajumbe
 
Ukiombwa ushahidi wa hilo utaweza kuuweka hapa au Mihemuko tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi TFF

Kura ziliopigwa-128
Zilizoharibika-3

Iman Madega- 8
Mwakalebela- 3
Emmanuel Kimbe- 1
Shija Richard- 9
Ally Mayay- 9
Karia- 95
Wallace anaonekana mtu makini tatizo langu wingi wa kura kama influence kimtindo sema jamaa anaonekana ni mtu makini . Tatizo ni kwa wambura jamaa mjuaji sana naona kama mzinguaji
 
Tusubiri msuguano wa Rais na Makamu wake. Maana Wambura atataka kuwa juu ya Rais wake
Mwakalibela yupo wapi?.. Kura zimeibiwa kwa kweli.. Sisi wa tawi mtandaoni wa chama tulimtegemea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…