Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
tunachotaka mpira uchezwe.hayo mengine hayatuhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata akija Messi kuwa rais wa TFF bado mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu tu!Wapiga kura wametuangusha watanzania tutegemee kwendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa miaka 4
Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] Tumekuja kuwashika..!Karia na Wambura wote ni Simba damu.
Sasa matopeni chezeni mpira visingizio vya Malinzi havitakuwepo tena.
Kamati ya mashindano ilijaa watu wenu lakini kila kitu ilikuwa Malinzi hiki, Malinzi kile.
Hakuna kureseat?Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
Duh nkajua karia na mayai wamepishana hata kura tatu kumbe gap kubwa hivyoUchaguzi TFF
Kura ziliopigwa-128
Zilizoharibika-3
Iman Madega- 8
Mwakalebela- 3
Emmanuel Kimbe- 1
Shija Richard- 9
Ally Mayay- 9
Karia- 95
Ilikuwa inajulikana karia angeshinda kwa kishindo ndio maana Madega alikuwa anamuwekea pingamizi makusudi haha madega alijuwa tuUchaguzi TFF
Kura ziliopigwa-128
Zilizoharibika-3
Iman Madega- 8
Mwakalebela- 3
Emmanuel Kimbe- 1
Shija Richard- 9
Ally Mayay- 9
Karia- 95
Alipoacha soka alijiunga chuoHakuna kureseat?
Ukiombwa ushahidi wa hilo utaweza kuuweka hapa au Mihemuko tu.Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
Wallace anaonekana mtu makini tatizo langu wingi wa kura kama influence kimtindo sema jamaa anaonekana ni mtu makini . Tatizo ni kwa wambura jamaa mjuaji sana naona kama mzinguajiUchaguzi TFF
Kura ziliopigwa-128
Zilizoharibika-3
Iman Madega- 8
Mwakalebela- 3
Emmanuel Kimbe- 1
Shija Richard- 9
Ally Mayay- 9
Karia- 95
Wajumbe wamempa mpira wake akachezeeMnafatilia uchaguzi uko dodoma nasikia ALLY MAYAI Kashindwa uchaguzi..kuna kaukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakalibela yupo wapi?.. Kura zimeibiwa kwa kweli.. Sisi wa tawi mtandaoni wa chama tulimtegemea sanaTusubiri msuguano wa Rais na Makamu wake. Maana Wambura atataka kuwa juu ya Rais wake