Nani angefaa?Wapiga kura wametuangusha watanzania tutegemee kwendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa miaka 4
Alikosea kuweka rangi ile isiyo na uhalisia
Kwani mitandao ndio wanapiga kura au wajumbe ?Mwakalibela yupo wapi?.. Kura zimeibiwa kwa kweli.. Sisi wa tawi mtandaoni wa chama tulimtegemea sana
Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
Ilikuwa inajulikana karia angeshinda kwa kishindo ndio maana Madega alikuwa anamuwekea pingamizi makusudi haha madega alijuwa tu
Mayay ana ushawishi nje ila sio kwa wajumbe
Umakamu popote pale usikie tu. Kila kitu kwa ridhaa ya bosi wako. Hata nafasi ya kumshauri anaweza asikupe ukabaki unasubiri siku ya Iddi.Mtu alikuwa M/Rais chini ya Malinzi
Unadhani kitabadilika nini hapo
Kibadeni vp! Kaukwaa ujumbe?Wambura vipi kimavi chake kimeisha yeye na mwakalebela wote damu ya kunguni kama kibadeni
Kauli ya waziri hii!!!huu uchaguzi cmba walijipanga kuanzia juu
Hawezi kusoma Diploma ya miaka miwili, hana cheti cha Form Six. Kwa kuwa ana cheti cha Form Four tu, lazima aanze na certificate, au asome Diploma ya Engineering ya miaka mitatu inayotolewa na vyuo vitatu tu nchinikwani mkuu mtu aliepata zero form six diploma hawezi soma???
YES... KARIA WINNERMnafatilia uchaguzi uko dodoma nasikia ALLY MAYAI Kashindwa uchaguzi..kuna kaukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alienda cbe akasoma certificate, diploma zen degree. Kumbuka certificate vigezo ni form4, na dip kigezo ni certificate, degree kigezo ni diplomaAlipoacha soka alijiunga chuo
KARIA
Wallace Karia rais mpya wa TFFMnafatilia uchaguzi uko dodoma nasikia ALLY MAYAI Kashindwa uchaguzi..kuna kaukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app