Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies

kwani mkuu mtu aliepata zero form six diploma hawezi soma???
 
Ilikuwa inajulikana karia angeshinda kwa kishindo ndio maana Madega alikuwa anamuwekea pingamizi makusudi haha madega alijuwa tu

Mayay ana ushawishi nje ila sio kwa wajumbe

Kura zingepigwa kwa kutotumia hawa wajumbe wachumia tumbo Ali Mayai angeshinda maana wanamichezo wa zamani waliungana kumpigia debe Ali lakini wapiga Kura wameacha keki ya taifa wametanguliza tumbo.
 
Yes hii huu uchaguzi na matukio yote yanaoneshwa Azam sports 2
 
bd3c2afe9ca6258a5d9dd1d018859f53.jpg
huu uchaguzi cmba walijipanga kuanzia juu
Kauli ya waziri hii!!!
 
Mbona walioshindwa kwa nafasi ya urais ni watano,kwanini ali mayay

Bless I
 
Wenye mpira wao ndiyo wamechagua. Nyie mlitaka genge la wanafiki akina Dauda na Mayai(much know imewacost). Wao badala ya kuripoti habari za michezo wanaongea wanayoyataka na kuponda wengine kwa kuwadharilisha kwa kuwa wanayo platform.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom