Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Karia na Wambura wote ni Simba damu.
Sasa matopeni chezeni mpira visingizio vya Malinzi havitakuwepo tena.

Kamati ya mashindano ilijaa watu wenu lakini kila kitu ilikuwa Malinzi hiki, Malinzi kile.
Hv kwa kuendekeza maneno haya kuna mpira kweli? ??
 
Ali mayai kashinda through media

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Wambura ana roho ngumu sana! Pamoja na kukatwa kote huko bado yumo, nafikiri ana mission flan na soka la bongo
Huyu alivyokuwa kiongozi simba si "alingangania" madaraka licha ya kipindi chake kwisha?
Labda kwa sababu sasa tupo awamu ya tano hatotuletea ujinga wake wa "kungangania madaraka" naona yupo "kiaveva aveva"
 
Mapato ya mlangoni, yaliacha kutangazwa tangu angie Malinzi kwenye TFF,tena akasema eti tiketi za elektroniki haiwezekani kutumika katika ligi, hii yote ilikuwa ni ubabaishaji wa hali ya juu.
Chama cha mpira kikaingia katika madeni yasiyoisha.!
Uongozi mpya urekebishe dosari hizi ili hata vilabu vitengeneze taarifa ya mapato na matumizi, na hesabu zikaguliwe!
 
alianzia kusoma cerficate cbe dar

G.O.M.D
 
Yawezekana una chuki binafsi na Shaffih Dauda,Shaffih alijitoa siki nyingi kabla ya uchaguzi na baadae kamati ya uchaguzi nayo kwa mastaajabu ya wengi ikatangaza kumfuta kugombea mgombea ambaye tayari alishatangaza kujitoa.
Ndugu Shaffii alijitoa baadae akatangaza kurudi kwa madai aliombwa asijitoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kila kona hawajitambui mkuu, kama ulijua ni kwenye soka tu, nenda na kule kwenye siasa ndo utaugua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnalazimisha wachague watu mnaowataka ninyi muwaone wanajitambua, mtakuwa BAVICHA Nyie kwa akili hizi za kuporomoshea watu Mitusi na kuwaona hawajitambui kwasababu wamempiga chini MGOMBEA Wenu
 
Wajumbe wamerudisha walewale.
Makamu wa rais kwa Malinzi na sasa ni Rais.
Sitarajii mabadiliko yoyote
 
Sikutegemea kabisa. Hongera Karia!
Huyu Karia,tulisoma naye Secondary,alikuwa mtu makini kimasomo,japo tuliachana njiani,sisi wengine tukasoma sayansi,lakini nakumbuka waalimu wa kihindi,wakimsifia sana,kwa umakini wake darasani,hakuwa mtu wa mambo ya ovyo ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…