Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kisa itakuwa ni baadhi ya wagombea kupewa promo ya kutosha kwa kuitwa watu wa mpira alafu hawamo kwenye mchakato...uongozi ni zaidi ya kucheza na kutangaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa itakuwa ni baadhi ya wagombea kupewa promo ya kutosha kwa kuitwa watu wa mpira alafu hawamo kwenye mchakato...uongozi ni zaidi ya kucheza na kutangaza
Tatizo Mayayi amepata promo ya vyombo vya habari na wanaomkubali wengi bahati mbaya hawakuwa wapiga kuraDuh nkajua karia na mayai wamepishana hata kura tatu kumbe gap kubwa hivyo
Hv kwa kuendekeza maneno haya kuna mpira kweli? ??Karia na Wambura wote ni Simba damu.
Sasa matopeni chezeni mpira visingizio vya Malinzi havitakuwepo tena.
Kamati ya mashindano ilijaa watu wenu lakini kila kitu ilikuwa Malinzi hiki, Malinzi kile.
...Namkubali huyu jamaa, hata pale Mvomero District Council alifanya makubwa sana kama DED.Hongera sana Wallace Karia, japokua sikukupa nafasi ya kushinda lakini naamini utabadilisha soka la Tanzania.
Maskini huyu Binti,Alikuwa na matumaini makubwa sana
Huyu alivyokuwa kiongozi simba si "alingangania" madaraka licha ya kipindi chake kwisha?Wambura ana roho ngumu sana! Pamoja na kukatwa kote huko bado yumo, nafikiri ana mission flan na soka la bongo
alianzia kusoma cerficate cbe darNingeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
Ndugu Shaffii alijitoa baadae akatangaza kurudi kwa madai aliombwa asijitoeYawezekana una chuki binafsi na Shaffih Dauda,Shaffih alijitoa siki nyingi kabla ya uchaguzi na baadae kamati ya uchaguzi nayo kwa mastaajabu ya wengi ikatangaza kumfuta kugombea mgombea ambaye tayari alishatangaza kujitoa.
Wewe ndio hujui chochote, mroho huyo Dauda na mpiga domo ajitoe wapi ?Yawezekana una chuki binafsi na Shaffih Dauda,Shaffih alijitoa siki nyingi kabla ya uchaguzi na baadae kamati ya uchaguzi nayo kwa mastaajabu ya wengi ikatangaza kumfuta kugombea mgombea ambaye tayari alishatangaza kujitoa.
Mnalazimisha wachague watu mnaowataka ninyi muwaone wanajitambua, mtakuwa BAVICHA Nyie kwa akili hizi za kuporomoshea watu Mitusi na kuwaona hawajitambui kwasababu wamempiga chini MGOMBEA WenuTanzania kila kona hawajitambui mkuu, kama ulijua ni kwenye soka tu, nenda na kule kwenye siasa ndo utaugua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wapiga deki wa barabara siyo ?Michael Wambura hongera sana wa nyumbani
Acha majungu yako hapa.Unataka kumsakizia ilu aandamwe kwa kumhusisha na siasa zenu.Tumepata rais wa ukawa safi sana. Uchaguzi ulikuwa mzuri
Zimwi
Huyu Karia,tulisoma naye Secondary,alikuwa mtu makini kimasomo,japo tuliachana njiani,sisi wengine tukasoma sayansi,lakini nakumbuka waalimu wa kihindi,wakimsifia sana,kwa umakini wake darasani,hakuwa mtu wa mambo ya ovyo ovyo.Sikutegemea kabisa. Hongera Karia!
Kasome vizuri Mada yote kila kitu kimewekwa kumhusu Wales, una haraka gani?Wekeni CV ya huyo Wallace Karia hapa