TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Mayai Alikuja na mbwembwe nyingiMbona walioshindwa kwa nafasi ya urais ni watano,kwanini ali mayay
Bless I
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayai Alikuja na mbwembwe nyingiMbona walioshindwa kwa nafasi ya urais ni watano,kwanini ali mayay
Bless I
Yanga yule, viongozi wenye mapenzi na timu hawafai sawa na ccm tu upendeleo kibao.Mnafatilia uchaguzi uko dodoma nasikia ALLY MAYAI Kashindwa uchaguzi..kuna kaukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndiyo alikuwa anataka kurudishiwa mpira wake...Tuache majungu kwani ally kushindwa iwe gumzo na wakati walikuwa watano
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo baadhi ya viongoz wa ccm wanafikiri wanaweza kufanya kila kitu wanachojisikiaAisee, mbona umekasirika sana?
Amepigiwa kura za hasira kwan ilionekana wazi serkali na media zilikuwa zinambebaKama ally mayai matembele hajashinda mie roho kwatuuuu
Ndo keshashinda alitengenezewa mchezo akaambiwa sio raia
Wanaongoza siasa kwenye Mchezo na usimba na yangaAmepigiwa kura za hasira kwan ilionekana wazi serkali na media zilikuwa zinambeba
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?