Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Kwa nini uchaguzi unaohusisha voters wachache unachukua muda mrefu kupata matokeo kama sio systematic failure ya ku organise?
Huyo ni Wakili MsomiThis guy he has a bright future
Ana diversity intelligence
Smartness
Patriotism
Aendelee hivi namuona mbali
Sijui kwanini watu hawaelewiTLS HAWATAKI MACHAWA ILE NI LEARNED SOCIETY SIO UVCCM.
Si ni rais wa mawakili wa Tanzania bara?Faida ya huyu Rais ni nn wakuu samahani kwa mwenye ujuzi atuambie
kwa kura ngapi mkuuKashinda aisee,nipo hapa.
Inasemekana alishinda term iliyopita busokelo, wakala kichwa juu kwa juu, alilia sana, ndio hasira zake kwa serikali zilipoanziaJembe,mwakani achukue fomu popote atapita Ila si urais mama anatosha
Sasa kama hajashinda hawa wanaopongeza wakiwa huko wana maana gani?!!Matokeo bado hayajatangazwa Wakuu, au ndio mmeona kwa tochi za ancestors?
Mungu alinena kwa kinywa chake sasa Ametenda kwa Mikono yake.Sasa hawa wanaopongeza wana maana gani?!!
View: https://x.com/DrCyrilo/status/1819444169103864314?t=aF0RnQj9tf96VpQPQtpflA&s=19
View: https://x.com/HildaNewton21/status/1819443404180242843?t=FMIocNcvIHzzmaF30vdAog&s=19
View: https://x.com/PMadeleka/status/1819450175406198938?t=bESHsdq8tDSGASBadvc2LA&s=19
Jibu la ndio au hapana litasaidia nini?Umewahi shuhudia uchaguzi wowote wa TLS?
We humjui Mwakitusi wewe heeèee
Alishinda kwa chama gani?Inasemekana alishinda term iliyopita busokelo, wakala kichwa juu kwa juu, alilia sana, ndio hasira zake kwa serikali zilipoanzia
Ingekuwa kashinda wa mrengo wako usingesema hiviHili lina umuhimu wowote kwetu wananchi kweli?