Afu yaonyeha ni chibongeUmechamba kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu yaonyeha ni chibongeUmechamba kweli?
Basi you don't know anything either tulia usubiri matokeo au uendelee kuuliza vitu ambavyo havina interest kwenye hili.Jibu la ndio au hapana litasaidia nini?
Matokeo Tayri MkuuBasi you don't know anything either tulia usubiri matokeo au uendelee kuuliza vitu ambavyo havina interest kwenye hili.
Matokeo yalishatoka. Critea za credible elections zinajulikanaBasi you don't know anything either tulia usubiri matokeo au uendelee kuuliza vitu ambavyo havina interest kwenye hili.
Sisi tuendelee na mipira yetuNi MWABUKUSI OR MWAMBUKUSI?
Is another Tundu Lissu in Town.Mwabukusi alisomea LLB chuo gani? Anawachachafya sana.
Na huku tunapita pita kuwakumbusha wasichapie😃😃Sisi tuendelee na mipira yetu
Haya matokeo watu wameyatoa wapi? Mbona sioni chombo chochote cha Habari kikiripoti? hata hapa Jf hakuna.Is another Tundu Lissu in Town.
Jf ni zaidi ya regular Chombo cha habari.Haya matokeo watu wameyatoa wapi? Mbona sioni chombo chochote cha Habari kikiripoti? hata hapa Jf hakuna.
Wanauliza uliza eti matokeo yako wapi.Watu wa yanga na simba hawaelewi tumefikia wapi
Kwahiyo ndio sababu hakuna matokeo rasmi mpaka sasa? sababu JF ni zaidi ya regular chombo cha habari?Jf ni zaidi ya regular Chombo cha habari.
Wanauliza uliza eti matokeo yako wapi.
Hii mipira imewapumbaza sana.