Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,210
Sikiliza mahojiano yake kuhusu Mawakili kupunguziwa gharama, asema ni uamuzi wa kukurupuka

Your browser is not able to display this video.
 
Sungusia naona ameamua kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.

Kwanza alianza kwa kuwatetea Covid 19 mahakamani na Leo anaongelea mawakili wasipunguziwe gharama ilimradi kazi zenyewe hakuna Sasa hivi tunaishia kuishi kwa kupiga mihuri document nothing extra.

Hana kura yangu mpuuzi sana, I use to see him as an intelligent brother.
 
Labda anatafuta njia ya kujitoa kugombea ili amwachie Mwenye sifa zaidi yake !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…