Uchaguzi wa Urais umekwisha na atakayekuwa Rais ameshajulikana tayari. Wapinzani wajipange Tu kwa uchaguzi wa Wabunge na madiwani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe wa Mambo .

Kwamba mpaka sasa Rais Na makamu wa Rais watakao Ongoza Taifa letu kwa kipindi cha Miaka mitano ijayo mpaka 2030 tayari wanafahamika na tayari DUNIA nzima inawafahamu. Kuwa Ni Mheshimiwa Rais Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na Makamu wake ni Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi.

Hata watanzania kwa sasa wanajua uchaguzi wa Urais Umekwisha na kuishia siku ile CCM kupitia mkutano mkuu wake maalumu ulipopitisha majina hayo na leo kutambulishwa Rasmi katika siku ya kusherehekea na kuadhimisha miaka 48 ya CCM tangia kuzaliwa kwake.

Hii ni kwa kuwa ni CCM pekee ndiyo chama chenye uwezo wa kutoa mtu mwenye uwezo na sifa za kuongoza Taifa letu. Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. Ni CCM pekee ndio itakayoendelea kutoa Dira na muelekeo wa Taifa letu .

Kwa hiyo ni muhimu vyama vya Upinzani vikatumia muda huu mfupi uliobakia kuandaa wagombea bora na wanaokubalika na kuuzika kwa wananchi katika nafasi za ubunge na udiwani. Huu ni muda wa kuweka mipango, mikakati ya kuandaa rasilimali watu na Fedha kwa ajili ya uchaguzi ujao.

Ni muda wa kuandaa timu nzuri na yenye kusheheni watu wenye ushawishi,nguvu , kukubalika na wenye uwezo mzuri wa kujenga hoja watakao tumika kuwanadi wagombea ubunge na udiwani.

Huu ni muda wa kuweka mipango ya kisayansi na yenye utafiti wa kisayansi ya juu ya wapi na mahali gani chama kiweke nguvu za kutosha katika kuhakikisha kuwa maeneo hayo kitafanikiwa kupata wabunge na madiwani wa kutosha .

Ni muda wa kuangalia wapi chama kina nguvu na ngome za kihistoria na namna gani ya kuendeleza na kutumia historia hiyo kupata ushindi kwa kuleta watu wenye sifa na ushawishi. Vyama vya Upinzani ni lazima visahau kabisa na kufuta kabisa habari za Urais kwa sababu huko watakuwa wanapoteza muda na rasilimali tu bila sababu ya Msingi bila kupata matunda.x

Uchaguzi ni hesabu na Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake.

Huyu Hapa ndiye Rais wetu ajaye akiwa na Makamu wake ajaye.
Screenshot_20250117-125814_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Utakufa mdomo wazi mende waingie wakulambe ulimi
 
Kwa hiyo INEC wamtangaze mteuliwa kabla ya zoezi la kuchukua fomu?
 
Huyu Hapa ndiye Rais wetu ajaye akiwa na Makamu wake ajaye.View attachment 3226171

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lucas, Uchaguzi ni oktoba na Leo ni Februari laweza tokea lolote, Maisha ya binadamu ni kama mshumaa. Leo yupo kesho hayupo..

Ajuaye kesho ya mtu ni Mungu
 
Kwa hiyo INEC wamtangaze mteuliwa kabla ya zoezi la kuchukua fomu?
Kilichobakia kwa sasa ni kutimiza tu wajibu wa kisheria na kikatiba . Lakini uchaguzi wa Urais Umekwisha na Tayari Dunia nzima inafahamu Rais Samia ndiye Rais wa Tanzania hadi 2030 japo tunaweza tukabadili katiba yetu ili aendelee kuongoza. Maana watanzania wana kiu kubwa ya kuongozwa na Rais wetu Mpendwa kwa Miaka mingi Zaidi. Hii ni kutokana na uchapakazi wake uliogusa maisha ya watu na kukonga mioyo ya mamilioni ya watanzania
 
Ndugu zangu Watanzania,

Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe wa Mambo .

Kwamba mpaka sasa Rais Na makamu wa Rais watakao Ongoza Taifa letu kwa kipindi cha Miaka mitano ijayo mpaka 2030 tayari wanafahamika na tayari DUNIA nzima inawafahamu. Kuwa Ni Mheshimiwa Rais Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na Makamu wake ni Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi.

Hata watanzania kwa sasa wanajua uchaguzi wa Urais Umekwisha na kuishia siku ile CCM kupitia mkutano mkuu wake maalumu ulipopitisha majina hayo na leo kutambulishwa Rasmi katika siku ya kusherehekea na kuadhimisha miaka 48 ya CCM tangia kuzaliwa kwake.

Hii ni kwa kuwa ni CCM pekee ndiyo chama chenye uwezo wa kutoa mtu mwenye uwezo na sifa za kuongoza Taifa letu. Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. Ni CCM pekee ndio itakayoendelea kutoa Dira na muelekeo wa Taifa letu .

Kwa hiyo ni muhimu vyama vya Upinzani vikatumia muda huu mfupi uliobakia kuandaa wagombea bora na wanaokubalika na kuuzika kwa wananchi katika nafasi za ubunge na udiwani. Huu ni muda wa kuweka mipango, mikakati ya kuandaa rasilimali watu na Fedha kwa ajili ya uchaguzi ujao.

Ni muda wa kuandaa timu nzuri na yenye kusheheni watu wenye ushawishi,nguvu , kukubalika na wenye uwezo mzuri wa kujenga hoja watakao tumika kuwanadi wagombea ubunge na udiwani.

Huu ni muda wa kuweka mipango ya kisayansi na yenye utafiti wa kisayansi ya juu ya wapi na mahali gani chama kiweke nguvu za kutosha katika kuhakikisha kuwa maeneo hayo kitafanikiwa kupata wabunge na madiwani wa kutosha .

Ni muda wa kuangalia wapi chama kina nguvu na ngome za kihistoria na namna gani ya kuendeleza na kutumia historia hiyo kupata ushindi kwa kuleta watu wenye sifa na ushawishi. Vyama vya Upinzani ni lazima visahau kabisa na kufuta kabisa habari za Urais kwa sababu huko watakuwa wanapoteza muda na rasilimali tu bila sababu ya Msingi bila kupata matunda.x

Uchaguzi ni hesabu na Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake.

Huyu Hapa ndiye Rais wetu ajaye akiwa na Makamu wake ajaye.View attachment 3226171

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hakuna anayejua maana hakuna mtu aliyefuatilia uchafuzi ndani ya CCM.

Dunia na watanzania walifuatilia uchaguzi wa Chadema .

Uchaguzi wa CCM haukua na tofauti na ule wa CUF ,TLP na Chauma .
Rais wa kuazima nchi jirani ni wa genge la mafisadi kama wale wavamizi wa Kongo tu hakuna tofauti. Wanavalia Tanganyika kupora rasilimali za Watanganyika na sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom