Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Kwani wewe una akili?Watu wajadili huu upuuzi wako? Tafuta wapumbavu wenzako ndiyo mjadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe una akili?Watu wajadili huu upuuzi wako? Tafuta wapumbavu wenzako ndiyo mjadili.
Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe kama mjingaHakuna anayejua maana hakuna mtu aliyefuatilia uchafuzi ndani ya CCM.
Dunia na watanzania walifuatilia uchaguzi wa Chadema .
Uchaguzi wa CCM haukua na tofauti na ule wa CUF ,TLP na Chauma .
Rais wa kuazima nchi jirani ni wa genge la mafisadi kama wale wavamizi wa Kongo tu hakuna tofauti. Wanavalia Tanganyika kupora rasilimali za Watanganyika na sio vinginevyo.
Ww beti tu, ccm cjui km mtatoboaNdugu zangu Watanzania,
Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe wa Mambo .
Kwamba mpaka sasa Rais Na makamu wa Rais watakao Ongoza Taifa letu kwa kipindi cha Miaka mitano ijayo mpaka 2030 tayari wanafahamika na tayari DUNIA nzima inawafahamu. Kuwa Ni Mheshimiwa Rais Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na Makamu wake ni Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi.
Hata watanzania kwa sasa wanajua uchaguzi wa Urais Umekwisha na kuishia siku ile CCM kupitia mkutano mkuu wake maalumu ulipopitisha majina hayo na leo kutambulishwa Rasmi katika siku ya kusherehekea na kuadhimisha miaka 48 ya CCM tangia kuzaliwa kwake.
Hii ni kwa kuwa ni CCM pekee ndiyo chama chenye uwezo wa kutoa mtu mwenye uwezo na sifa za kuongoza Taifa letu. Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. Ni CCM pekee ndio itakayoendelea kutoa Dira na muelekeo wa Taifa letu .
Kwa hiyo ni muhimu vyama vya Upinzani vikatumia muda huu mfupi uliobakia kuandaa wagombea bora na wanaokubalika na kuuzika kwa wananchi katika nafasi za ubunge na udiwani. Huu ni muda wa kuweka mipango, mikakati ya kuandaa rasilimali watu na Fedha kwa ajili ya uchaguzi ujao.
Ni muda wa kuandaa timu nzuri na yenye kusheheni watu wenye ushawishi,nguvu , kukubalika na wenye uwezo mzuri wa kujenga hoja watakao tumika kuwanadi wagombea ubunge na udiwani.
Huu ni muda wa kuweka mipango ya kisayansi na yenye utafiti wa kisayansi ya juu ya wapi na mahali gani chama kiweke nguvu za kutosha katika kuhakikisha kuwa maeneo hayo kitafanikiwa kupata wabunge na madiwani wa kutosha .
Ni muda wa kuangalia wapi chama kina nguvu na ngome za kihistoria na namna gani ya kuendeleza na kutumia historia hiyo kupata ushindi kwa kuleta watu wenye sifa na ushawishi. Vyama vya Upinzani ni lazima visahau kabisa na kufuta kabisa habari za Urais kwa sababu huko watakuwa wanapoteza muda na rasilimali tu bila sababu ya Msingi bila kupata matunda.x
Uchaguzi ni hesabu na Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake.
Huyu Hapa ndiye Rais wetu ajaye akiwa na Makamu wake ajaye.View attachment 3226171
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sivuti Bangi na wala sijawahi kuvuta Bangi.Hivi we jamaa bangi unayovuta unachanganya damu ya kenge???
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili heshima irejee.Ndugu zangu Watanzania,
Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe wa Mambo .
Kwamba mpaka sasa Rais Na makamu wa Rais watakao Ongoza Taifa letu kwa kipindi cha Miaka mitano ijayo mpaka 2030 tayari wanafahamika na tayari DUNIA nzima inawafahamu. Kuwa Ni Mheshimiwa Rais Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na Makamu wake ni Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi.
Hata watanzania kwa sasa wanajua uchaguzi wa Urais Umekwisha na kuishia siku ile CCM kupitia mkutano mkuu wake maalumu ulipopitisha majina hayo na leo kutambulishwa Rasmi katika siku ya kusherehekea na kuadhimisha miaka 48 ya CCM tangia kuzaliwa kwake.
Hii ni kwa kuwa ni CCM pekee ndiyo chama chenye uwezo wa kutoa mtu mwenye uwezo na sifa za kuongoza Taifa letu. Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. Ni CCM pekee ndio itakayoendelea kutoa Dira na muelekeo wa Taifa letu .
Kwa hiyo ni muhimu vyama vya Upinzani vikatumia muda huu mfupi uliobakia kuandaa wagombea bora na wanaokubalika na kuuzika kwa wananchi katika nafasi za ubunge na udiwani. Huu ni muda wa kuweka mipango, mikakati ya kuandaa rasilimali watu na Fedha kwa ajili ya uchaguzi ujao.
Ni muda wa kuandaa timu nzuri na yenye kusheheni watu wenye ushawishi,nguvu , kukubalika na wenye uwezo mzuri wa kujenga hoja watakao tumika kuwanadi wagombea ubunge na udiwani.
Huu ni muda wa kuweka mipango ya kisayansi na yenye utafiti wa kisayansi ya juu ya wapi na mahali gani chama kiweke nguvu za kutosha katika kuhakikisha kuwa maeneo hayo kitafanikiwa kupata wabunge na madiwani wa kutosha .
Ni muda wa kuangalia wapi chama kina nguvu na ngome za kihistoria na namna gani ya kuendeleza na kutumia historia hiyo kupata ushindi kwa kuleta watu wenye sifa na ushawishi. Vyama vya Upinzani ni lazima visahau kabisa na kufuta kabisa habari za Urais kwa sababu huko watakuwa wanapoteza muda na rasilimali tu bila sababu ya Msingi bila kupata matunda.x
Uchaguzi ni hesabu na Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake.
Huyu Hapa ndiye Rais wetu ajaye akiwa na Makamu wake ajaye.View attachment 3226171
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Haujaisha mpaka uisheNdugu zangu Watanzania,

Kwa uchaguzi gani, ule upuuzi uitwao uchaguzi ama?Umewashauri vyema. Wapinzani waweke nguvu kwa madiwani na wabunge. Urais wamuunge mkono Dr Samia Suluhu.
Ule wa wavifua vyembamba,vyepesi na vipana.Kwa uchaguzi gani, ule upuuzi uitwao uchaguzi ama?
Uchaguzi wa Urais Umekwisha na hakuna cha Nyongeza tena.Haujaisha mpaka uishe
Umeufanyia pango la wa huni gani ndugu uchafuzi.Uchaguzi wa Urais Umekwisha na hakuna cha Nyongeza tena.
Unataka kutuambia matokeo ya uchaguzi yamepangwa kabla mpaka asilimia akazopata,, lakini kwa dunia nyingine matokeo ya uchaguzi huwezi kutabiri mpaka wapiga kura waamue. Kama ndivyo, ni ujuha na upotevu wa fedha kununua vifaa vya kupigia kura, posho za watendaji na muda kusumbua watu kupanga foleni na kushinda njaa kwa jambo lililopangwa. Mwafrica ni wa hovyo ila mtanzania ni zaidi ya hovyo.Oktoba ni kwa ajili ya kutimiza wajibu tu . Lakini Rais wetu tayari anafahamika kwa Dunia nzima. October utakuwa uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee.
"Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. "Ndugu zangu Watanzania,
Maneno haya yanaweza kuwa na maumivu makubwa sana kwa upinzani wa Nchi hii na kuonyesha pengine kuwakatisha Tamaa. Lakini huo ndio ukweli wenyewe na ndio uhalisia wenyewe wa Mambo .
Kwamba mpaka sasa Rais Na makamu wa Rais watakao Ongoza Taifa letu kwa kipindi cha Miaka mitano ijayo mpaka 2030 tayari wanafahamika na tayari DUNIA nzima inawafahamu. Kuwa Ni Mheshimiwa Rais Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan na Makamu wake ni Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi.
Hata watanzania kwa sasa wanajua uchaguzi wa Urais Umekwisha na kuishia siku ile CCM kupitia mkutano mkuu wake maalumu ulipopitisha majina hayo na leo kutambulishwa Rasmi katika siku ya kusherehekea na kuadhimisha miaka 48 ya CCM tangia kuzaliwa kwake.
Hii ni kwa kuwa ni CCM pekee ndiyo chama chenye uwezo wa kutoa mtu mwenye uwezo na sifa za kuongoza Taifa letu. Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. Ni CCM pekee ndio itakayoendelea kutoa Dira na muelekeo wa Taifa letu .
Kwa hiyo ni muhimu vyama vya Upinzani vikatumia muda huu mfupi uliobakia kuandaa wagombea bora na wanaokubalika na kuuzika kwa wananchi katika nafasi za ubunge na udiwani. Huu ni muda wa kuweka mipango, mikakati ya kuandaa rasilimali watu na Fedha kwa ajili ya uchaguzi ujao.
Ni muda wa kuandaa timu nzuri na yenye kusheheni watu wenye ushawishi,nguvu , kukubalika na wenye uwezo mzuri wa kujenga hoja watakao tumika kuwanadi wagombea ubunge na udiwani.
Huu ni muda wa kuweka mipango ya kisayansi na yenye utafiti wa kisayansi ya juu ya wapi na mahali gani chama kiweke nguvu za kutosha katika kuhakikisha kuwa maeneo hayo kitafanikiwa kupata wabunge na madiwani wa kutosha .
Ni muda wa kuangalia wapi chama kina nguvu na ngome za kihistoria na namna gani ya kuendeleza na kutumia historia hiyo kupata ushindi kwa kuleta watu wenye sifa na ushawishi. Vyama vya Upinzani ni lazima visahau kabisa na kufuta kabisa habari za Urais kwa sababu huko watakuwa wanapoteza muda na rasilimali tu bila sababu ya Msingi bila kupata matunda.x
Uchaguzi ni hesabu na Siasa ni sayansi na sayansi ina kanuni zake.
Huyu Hapa ndiye Rais wetu ajaye akiwa na Makamu wake ajaye.View attachment 3226171
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
mungu wa majini!!?Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.
Wewe hunaga akili kabisa kichwani mwako."Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. "
Hiyo kauli hapo juu hata Samia mwenyewe haikubali.
Unatafuta laana na pigo kubwa kwako ama kwa huyo unayempigania.
Huwezi kuamini MUNGU yupo huku umejitengenezea miungu yako na MUNGU wa MBINGUNI mwenye wivu akakaa kimya!
Nusu mlingoti unakuhusu.
Jumbe za hivyo usizipuuze. Tuliokuja jf kabla yako jumbe za hivyo huwa tunazitilia maanani. Na watu wamekuwa wakibaki vinywa wazi jumbe za hivyo zikitimiaBila shaka upo Mirembe
Imepenya hiyoo.Wewe hunaga akili kabisa kichwani mwako.