Uchaguzi wa Urais umekwisha na atakayekuwa Rais ameshajulikana tayari. Wapinzani wajipange Tu kwa uchaguzi wa Wabunge na madiwani

Naona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe kama mjinga
 
Hivi we jamaa bangi unayovuta unachanganya damu ya kenge???
 
Ww beti tu, ccm cjui km mtatoboa
 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
  • 820577d2c4037448e9cfbc7264510978_1738689214721.mp4
    1.2 MB
  • VID-20250204-WA0101.mp4
    1 MB
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi ili heshima irejee.
 
Haujaisha mpaka uishe
 
Oktoba ni kwa ajili ya kutimiza wajibu tu . Lakini Rais wetu tayari anafahamika kwa Dunia nzima. October utakuwa uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee.
Unataka kutuambia matokeo ya uchaguzi yamepangwa kabla mpaka asilimia akazopata,, lakini kwa dunia nyingine matokeo ya uchaguzi huwezi kutabiri mpaka wapiga kura waamue. Kama ndivyo, ni ujuha na upotevu wa fedha kununua vifaa vya kupigia kura, posho za watendaji na muda kusumbua watu kupanga foleni na kushinda njaa kwa jambo lililopangwa. Mwafrica ni wa hovyo ila mtanzania ni zaidi ya hovyo.
 
"Ni CCM pekee itakayoendelea kutoa RAIS na Makamu wa Rais wa Taifa letu Mpaka Mwisho wa Dunia. "
Hiyo kauli hapo juu hata Samia mwenyewe haikubali.
Unatafuta laana na pigo kubwa kwako ama kwa huyo unayempigania.

Huwezi kuamini MUNGU yupo huku umejitengenezea miungu yako na MUNGU wa MBINGUNI mwenye wivu akakaa kimya!

Nusu mlingoti unakuhusu.
 
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.
mungu wa majini!!?
Si tumeona na kusikia majini wanatumwa kumshindisha!!??
Mnamtengenezea laana huyo mama yenu kwa kummunguisha.

MUNGU Baba wa Mbinguni ni MUNGU mwenye wivu kweli kweli, binadamu anayechukua sifa zake akimchukua msianze kutafuta mchawi wakati wachawi ni ninyi machawa.
 
Wewe hunaga akili kabisa kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…