Nashangaa unajua hiyo ni tuhuma nzito kwa multi choice hata kama Ezden karopoka kwa hasira but kaaribu jina la Multichoice na watu watakosa iman kwa kila mshiriki atakayekuwa anapitishwa na walio pitishwa mwanzo watu watahisi walisha pangwa.
Anapatikana wapi huyu nimpeleke kijana wangu?
rabish!! ezden mwenyewe english hajui nimemfundisha somo la broadcasting pale RCT alikuwa anapata shida sana kuandika news kwa kingereza!
mpwa huyu ras simba nchi zilizo serious na elimu ni wakuwekwa jela kabisa.
mimi nimekwenda shule na nimekaa British Columbia kwa miaka kadhaa na nimesoma British council English course na bado mpaka kesho naendelea kujifunza English sembuse huyu muhuni wa wiki tatu?