Tena inaskitisha sana.Mmeamua kuwapa watu wa Iringa timu ya D'Salaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena inaskitisha sana.Mmeamua kuwapa watu wa Iringa timu ya D'Salaam
YANGA INAMCHOMA HALALI BILA KUIGUSAA LOH ...NA BADOOOKunywa maji kwanza upunguze jazba, kama ni wanasimba wamegombeaje yanga bila kadi za uanachama? Mpira ni kama siasa tu kila mtu anaweza kuhamia upande unaomfit.
YANGAAAA INAKUTESAAA UMEANZISHA THREAD AICHOKI NA HUMU UMOOO LOH KAZIKWELIKWELIWana Yanga SC kweli ni ' Mazwazwa ' yaani Simba SC tumewaingizeni cha ' Kike ' huku tukitumia mbinu zetu nyingi za ' Ushawishi ' na ' Propaganda ' Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari Kuwaaminisheni kuwa hao ni Wenzenu ( wana Yanga SC ) wakati Kiuhalisia siyo kabisa badala yake ni Wana Simba SC wenzetu tena wa ' Kindakindaki ' kabisa.
Sasa mtakoma na mtatukoma Simba Sports Club.
Toa maelezo yanayojitosheleza ikibidi contact zake
Yupi mkuu au Flora?