Wana Yanga SC kweli ni ' Mazwazwa ' yaani Simba SC tumewaingizeni cha ' Kike ' huku tukitumia mbinu zetu nyingi za ' Ushawishi ' na ' Propaganda ' Mitandaoni na katika Vyombo vya Habari Kuwaaminisheni kuwa hao ni Wenzenu ( wana Yanga SC ) wakati Kiuhalisia siyo kabisa badala yake ni Wana Simba SC wenzetu tena wa ' Kindakindaki ' kabisa.
Sasa mtakoma na mtatukoma Simba Sports Club.