Zanzibar 2020 Uchaguzi Zanzibar joto kali


..asante kwa jibu lako.

..lakini nadhani hukunielewa, labda sikujieleza vizuri.

..niliposema " mzee huyu " nilikuwa namemlenga Jpm.

..kwamba Jpm ni mzee asiyejiongeza, na anayepuyanga tu ktk mazungumzo yake.

.. Mohamed Said, mimi nakikubali kipaji chako, na nauheshimu mchango wako.

..Pole kwa usumbufu niliousababisha.
 
Kipanga,
Ikiwa CCM watashinda baada ya kila Mzanzibari anaestahili kupiga kura ataruhusiwa kupiga kura, kwa maana ya uchaguzi kuwa huru na wa haki hili litakuwa tukio la ajabu sana.
Hakuna la ajabu hapo...

Kama ni kitambulisho..Sh.Moh'd ..hakunyimwa mpemba tu.. na jamii ya sasa imeshaamka.. upuuzi wa kudai haki kwa mbinde..ukashindana na Serikari kwa nguvu ya jiwe... washagutuka watu wameacha..sababu wanao umia ni baadhi ya matabaka tu baina yao hao hao wanao dai haki na si wote!

Wenye kuyajua washajiwambua... na watanielewa!

kitambulisho cha kura Zanzibari..wote wamekosa na kupata!



Na hili litapita InshaAllah... kila jambo na wakti wake!

Kulazimisha kutenganisha watu ni sumu mbaya sana..

Na kuchonganisha watu pia kinafiki...ni dhambi mbaya pia!
 
JK,
Mie ndiye wa kukutaka radhi.
Ahsante.
 
Mine...
Ahsante.
 
Kipanga,
Ikiwa CCM watashinda baada ya kila Mzanzibari anaestahili kupiga kura ataruhusiwa kupiga kura, kwa maana ya uchaguzi kuwa huru na wa haki hili litakuwa tukio la ajabu sana.
Kuna wasukuma na wasubi watapelekwa zanzibar kupiga kura, usishangae mwinyi akashinda kwa kura 5 Milion hali ya kuwa voters hawafikii idadi hiyo.
 
Naona joto linazidi kupanda Zanzibar , haya CCM endeleeni tu na maandazi yenu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…