Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
mWILI MZIMA UNANITETEMEKA, SASA KUNA HAJA GANI YA KUTUAMBIA TUKAPIGE KURA SI WASEME WAO NDO VIONGOZI! PUMBAFUUUUU SENU MSEME NAMATUSI ALAAAAAAAA!
 

What?

epigenetics - "... we have nothing to loose, except our chains...."
 

hapa kuna mambo mawili
1; kama walikuwa wanapelekewa watu wa chini na walikuwa wanaonekana"watata", basi majina yalikuwa ni lazima yatajwe ili kuwatisha

2: Huyu Bw Kabwe inawezekana hakuambiwa awaandikie, bali aliambiwa awaambie kwa Mdomo, sasa kama alikuwa anaona hawezi kupeleka ujumbe kwa maneno hivyo aliamua kuandika hiyo barua (sio Kiofisi) lakini akipeleka ujmbe
 
hivi nyinyi watu ni lini mtatambua kuwa kuna mipango mibovu ndani ya ccm dhidi ya uchaguzi wa mwaka huu

hata jambo la msingi kama hili na tena liko wazi bado mnatia question mark?

tuwambie vipi ili muelewe?
 
Unataka barua ya wizi iwe na kumbukumbu no. halafu Headed letter si lazima iwe na muhuri.
 

yOU CAN FOOL PEOPLE FOR SOMETIME... BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL TEH TIME... BUKULIFU.. POLE SANA MKUU

HIYO BARUA FEKI
RAIS FEKI
UCHAGUZI FEKI
KARATASI ZA KURA KEFI
MWANZA FEKI
IKULU FEKI
VYAMA FEKI
CCM FEKI
UPINZANI FEKI
JF FEKI
BUCKREEF FEKI
ACID FEKI
OCT 31 FEKI
LAU MASHA FEKI
KILA KITU FEKI.... HAPPY NOW??

kma
 

Ni kweli kunaweza kuwa na mashaka juu ya authenticity ya hiyo barua hasa kwa sababu hatujui aliyeiweka hapa ameipataje.

Bado najiuliza wamepata wapi guts za kuweka 'dhuluma' kama hii kwenye maandishi? Binafsi mashaka yangu hayatokani na makosa ya uandishi wa barua yenyewe (huwa wanafanya makosa ya kiuandishi makubwa kuliko haya!) bali jambo lenyewe. Hayo makosa pengne yamefanywa makusudi ili kuifanya isiaminike!

Suala la whereabouts za JK katika tarehe zilizotajwa sio ishu sana.....sio kweli kwamba tunaweza kujua kwa uhakika JK yupo wapi kila siku na kwa masaa 24 (kumbuka wanatumia ndege pia kusafiri!).
 
Mimi ninaamini hii barua ni hoax! Invisible ondoa hii thread
Aliyeiweka ndiye na mwenye kuiondoa na ndiye anayesema ni barua ya kweli kinachotakiwa ni ama wewe uondoke au usifungue hii siredi.
 
JK Itinerary

16-10-2010 : Coastal Region : Official Visit ( 08h00 - 17h00)
16-10-2010 : Mwanza Region : "Official Visit" (23h00 - 01h100)
17-10-2010 : Coastal Region : Official Visit ( 08h00 - 17h00)

Ziara za kikazi za rais kiutaratibu zinamalizika saa kumi na mbili jioni (18h00) kwa sababu za usalama...

Hiyo hapo juu inawezekana sana - Flight ya Mwanza ni 1h15min (Precision Air:: ATR). Haitaji Nuclear Scientist kuelewa hilo!
 

Hata kule Bukombe alipoona watu hawamtaki aliwaambia "kampigieni kura yeyote mnayemtaka ila CCM itashinda kwa kishindo". Huyu rais ni mropokaji na sasa mbinu zimefichuliwa. Mambo ya REDET na Synnovate yote yanadhihirisha hayo.
Wakuu hii isitukatishe tamaa. Twendeni tukapige kura na kura zetu zilindwe. Kuna haja ya kuongeza nguvu za ulinzi wa kura kwenye majimbo husika.
 

Sijakuelewa mkuu! Unasawazisha?
 
hilo ni kwa mwanza

kila kituo kina majina 100 hewa, na jumla ya vituo ni 53,000 nchi zima zidisha hapo uone ccm wana kura ngapi ambzo ni hewa!!

msiwe wabishi na kuanza kupayuka ovyo, hii barua ni ya kweli mimi nawambia
 
Nimewaonyesha wadau hapa ofisini. yaani kila mmoja anashangaa hili.
 
Nakubaliana na kiraia kwani uchaguzi hautakuwa huru na haki na hasa ukizingatia Azimio na 4 inahusisha dola.
 
Invicible una ushahidi gani nahiyo barua siyo ya kutengeneza ili kuchafua hali ya hewa?

Tafuta ushahidi kabla ya kupost.
 
Mhala popote anapoingia Lowassa lazima mkubali kuna hitlafu na hakika Kikwetete anazidi kuonyesha jinsi alivyokuwa na akili za kushikiwa.
Hii habari sii UONGO ni kweli na mpango huu unafanyika sii Mwanza tu ila Tanzania nzima kuhakikisha CCM Mtandfao wanashinda by all means necessary!. Lakini maadam CCM Asilia wako nyuma ya Dr.Slaa na mapinduzi ya kweli nadhani mbinu hizi za Kikwete na kundi lake la wahuni halitaweza fanikiwa kwani Tanzania sii mali yao.

Hongera sana Invisible na zidi kulitetea Taifa lako kwa kila hali pasipo kujali chama wala mgombea..Kwa wanaobisha ni kazi yao wao kuonyesha kilichofanyika kinyume cha barua hii maanake hata ile ya list ya Mafisadi na receipt za Makamba walikataa vile vile.

Nachotaka kuuliza ni kimoja tu.. Kwa nini watu wanasema matumizi ya IT wakati wananchi watapiga kura zao kwa kutumia kalamu na dole gumba kisha kura zao zitahesabiwa kwa mkono moja baada ya nyingine pasipo kutumia machine au PC..

Katika kujihadhari na jambo hili, matumizi ya wajuzi wa IT yatahitajika wakati gani?..
 
uSIISHIE KUOGOPA... CHUKUA HATUA.... HATUWEZI KUACHA MAMBO HIVI TUTAPATA LAANA YA VIZAZI VYETU

Your very right Mkuu:::

Tusipochukua hatua Watoto wetuwatafukua makaburi yetu kuhakiki kama tulikuwa na UBONGO ndani ya SKULL!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…