Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
mWILI MZIMA UNANITETEMEKA, SASA KUNA HAJA GANI YA KUTUAMBIA TUKAPIGE KURA SI WASEME WAO NDO VIONGOZI! PUMBAFUUUUU SENU MSEME NAMATUSI ALAAAAAAAA!
 
Mkuu Invisible. Kuwa makini na jinsi unavyopost hizi thread. The stakes are too high at this moment. Kwa jinsi ulivyo weka title ya thread na mtu kukumbana na barua hii ya utata - kwa mtu mwenye hisia za harakaharaka anaweza sababisha vurugu. Please be careful with the position you have. Suala la hisia za kisiasa sio mchezo. Ungebandika barua hizi, ila ungetumia lugha tofauti kuwapa onyo watu.

What?

epigenetics - "... we have nothing to loose, except our chains...."
 
Mkuu Inv - Hii barua inanipa mashaka, mbona haina muhuri? Halafu majina yaliyotajwa ni mazito, ulazima wa kuyaandika majina kwenye barua sijauona. Mbona haina hata Kumb. Na.? Mhhhhhhh. Labda kama huyo msimamizi awe ameamua kujitoa muhanga!!!!!!!!!!!!!!

hapa kuna mambo mawili
1; kama walikuwa wanapelekewa watu wa chini na walikuwa wanaonekana"watata", basi majina yalikuwa ni lazima yatajwe ili kuwatisha

2: Huyu Bw Kabwe inawezekana hakuambiwa awaandikie, bali aliambiwa awaambie kwa Mdomo, sasa kama alikuwa anaona hawezi kupeleka ujumbe kwa maneno hivyo aliamua kuandika hiyo barua (sio Kiofisi) lakini akipeleka ujmbe
 
hivi nyinyi watu ni lini mtatambua kuwa kuna mipango mibovu ndani ya ccm dhidi ya uchaguzi wa mwaka huu

hata jambo la msingi kama hili na tena liko wazi bado mnatia question mark?

tuwambie vipi ili muelewe?
 
Mkuu Inv - Hii barua inanipa mashaka, mbona haina muhuri? Halafu majina yaliyotajwa ni mazito, ulazima wa kuyaandika majina kwenye barua sijauona. Mbona haina hata Kumb. Na.? Mhhhhhhh. Labda kama huyo msimamizi awe ameamua kujitoa muhanga!!!!!!!!!!!!!!
Unataka barua ya wizi iwe na kumbukumbu no. halafu Headed letter si lazima iwe na muhuri.
 
CCM wajanja kweli kweli, wamewaingiza CHADEMA kichwa kichwa kwenye barua ambayo ukisoma kidogo tu unagundua wazi ni HOAX.

Mwambieni Dr. Slaa aiongelee majukwaani.

Ni yale yale ya Tunduma na lorry la karatasi za kura.

Ila Watanzania kuweni macho. Mauaji ya Rwanda na hata Kosovo yalianza kwa uvumi ambao baadaye ilikuja julikana kwamba haukuwa na ukweli. Wakati huo ilikuwa too late na watu walishaanza kuchinjana.

Jiandaeni kupiga kura kwa amani na kupunguza pressure na stress za kwenye JF.

yOU CAN FOOL PEOPLE FOR SOMETIME... BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL TEH TIME... BUKULIFU.. POLE SANA MKUU

HIYO BARUA FEKI
RAIS FEKI
UCHAGUZI FEKI
KARATASI ZA KURA KEFI
MWANZA FEKI
IKULU FEKI
VYAMA FEKI
CCM FEKI
UPINZANI FEKI
JF FEKI
BUCKREEF FEKI
ACID FEKI
OCT 31 FEKI
LAU MASHA FEKI
KILA KITU FEKI.... HAPPY NOW??

kma
 
With due respect. Invisible nakuaminia na nimekuwa napenda post zako. Kwa hili nasita kuamini. Kwanza kwa wale wenye kumbukumbu tarehe 16.10.2010 Kikwete alikuwa Mkoa wa Pwani ziara aliyoanza tarehe 15.10.10. Tarehe 17.10.10 alikuwa Mkoa wa Dar. Yaani hata hao walioandika barua ya magizo je hawakujua ratiba hiyo? Barua inaonesha mwandishi hajui kanuni za kuandika barua. Kwanza haina Kumbukumbu. Barua kama hizi lazima zipigwe muhuri wa "SIRI" au "Confidentail". Kichwa cha barua yenyewe kinatia mashaka. Na mwandishi anaonekana kukosa weledi wa kuandika barua za Kiserikali. Kwa mimi naona barua hiyo si barua ya kweli. Ebu rejea source ya barua hiyo na ujiridhishe kama ni credible.

Ni kweli kunaweza kuwa na mashaka juu ya authenticity ya hiyo barua hasa kwa sababu hatujui aliyeiweka hapa ameipataje.

Bado najiuliza wamepata wapi guts za kuweka 'dhuluma' kama hii kwenye maandishi? Binafsi mashaka yangu hayatokani na makosa ya uandishi wa barua yenyewe (huwa wanafanya makosa ya kiuandishi makubwa kuliko haya!) bali jambo lenyewe. Hayo makosa pengne yamefanywa makusudi ili kuifanya isiaminike!

Suala la whereabouts za JK katika tarehe zilizotajwa sio ishu sana.....sio kweli kwamba tunaweza kujua kwa uhakika JK yupo wapi kila siku na kwa masaa 24 (kumbuka wanatumia ndege pia kusafiri!).
 
JK Itinerary

16-10-2010 : Coastal Region : Official Visit ( 08h00 - 17h00)
16-10-2010 : Mwanza Region : "Official Visit" (23h00 - 01h100)
17-10-2010 : Coastal Region : Official Visit ( 08h00 - 17h00)

Ziara za kikazi za rais kiutaratibu zinamalizika saa kumi na mbili jioni (18h00) kwa sababu za usalama...

Hiyo hapo juu inawezekana sana - Flight ya Mwanza ni 1h15min (Precision Air:: ATR). Haitaji Nuclear Scientist kuelewa hilo!
 
Siyo Fake - so much has already been said - and as kiswahili saying goes "Lisemwalo Lipo"

Kikwete alisema "..tusiposhinda, tutajishindisha..": tatizo wa-tanzania huwa hatufuatilii hotuba za Mkuu wa kaya - zina so man loose comments ambazo ukiunganisha unapata taswira nzima ya ni nini kiko nyuma ya hizo hotuba.

This time around - at least itakuwa ngumu kidogo kuendesha zoezi la wizi wa kura - hii inaitwa CATCH 22!:A S angry:

Hata kule Bukombe alipoona watu hawamtaki aliwaambia "kampigieni kura yeyote mnayemtaka ila CCM itashinda kwa kishindo". Huyu rais ni mropokaji na sasa mbinu zimefichuliwa. Mambo ya REDET na Synnovate yote yanadhihirisha hayo.
Wakuu hii isitukatishe tamaa. Twendeni tukapige kura na kura zetu zilindwe. Kuna haja ya kuongeza nguvu za ulinzi wa kura kwenye majimbo husika.
 
Tena nimesahau... Kwakuwa barua hii ni FAKE, na kwakuwa mnatakiwa kuipuuza basi wakuu wangu tuanze ku-deal na issues za kuangalia rais mtarajiwa (yeyote awaye) ataapishwaje na sherehe ni wapi.

Watu wazushi sana.

Pia mjue kama kungekuwa na uchakachuaji basi ungefanyika kwa MITANDAO TU kwakuwa wanaofanya uchakachuaji ni WATAALAMU sana na hawawezi kwenda kienyeji kiasi hiki.

TAFADHALI: Msiiamini hii barua wakuu

Sijakuelewa mkuu! Unasawazisha?
 
hilo ni kwa mwanza

kila kituo kina majina 100 hewa, na jumla ya vituo ni 53,000 nchi zima zidisha hapo uone ccm wana kura ngapi ambzo ni hewa!!

msiwe wabishi na kuanza kupayuka ovyo, hii barua ni ya kweli mimi nawambia
 
Nimewaonyesha wadau hapa ofisini. yaani kila mmoja anashangaa hili.
 
Nakubaliana na kiraia kwani uchaguzi hautakuwa huru na haki na hasa ukizingatia Azimio na 4 inahusisha dola.
 
Invicible una ushahidi gani nahiyo barua siyo ya kutengeneza ili kuchafua hali ya hewa?

Tafuta ushahidi kabla ya kupost.
 
Mhala popote anapoingia Lowassa lazima mkubali kuna hitlafu na hakika Kikwetete anazidi kuonyesha jinsi alivyokuwa na akili za kushikiwa.
Hii habari sii UONGO ni kweli na mpango huu unafanyika sii Mwanza tu ila Tanzania nzima kuhakikisha CCM Mtandfao wanashinda by all means necessary!. Lakini maadam CCM Asilia wako nyuma ya Dr.Slaa na mapinduzi ya kweli nadhani mbinu hizi za Kikwete na kundi lake la wahuni halitaweza fanikiwa kwani Tanzania sii mali yao.

Hongera sana Invisible na zidi kulitetea Taifa lako kwa kila hali pasipo kujali chama wala mgombea..Kwa wanaobisha ni kazi yao wao kuonyesha kilichofanyika kinyume cha barua hii maanake hata ile ya list ya Mafisadi na receipt za Makamba walikataa vile vile.

Nachotaka kuuliza ni kimoja tu.. Kwa nini watu wanasema matumizi ya IT wakati wananchi watapiga kura zao kwa kutumia kalamu na dole gumba kisha kura zao zitahesabiwa kwa mkono moja baada ya nyingine pasipo kutumia machine au PC..

Katika kujihadhari na jambo hili, matumizi ya wajuzi wa IT yatahitajika wakati gani?..
 
uSIISHIE KUOGOPA... CHUKUA HATUA.... HATUWEZI KUACHA MAMBO HIVI TUTAPATA LAANA YA VIZAZI VYETU

Your very right Mkuu:::

Tusipochukua hatua Watoto wetuwatafukua makaburi yetu kuhakiki kama tulikuwa na UBONGO ndani ya SKULL!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom