Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.

mkuu,
hii analysis yako ndio haswaa watakachofanya.
Please nakuomba sana - hili bandiko lako lianzishie thread ya peke yake.
Kuliacha Ktk hii thread litazikwa na kusahaulika, watu wengi hawataliona na utakuwa hujaifanyia justice post yako na members.
Please just do it. It's extremely important.
Asante.
 
hilo ni kwa mwanza

kila kituo kina majina 100 hewa, na jumla ya vituo ni 53,000 nchi zima zidisha hapo uone ccm wana kura ngapi ambzo ni hewa!!

msiwe wabishi na kuanza kupayuka ovyo, hii barua ni ya kweli mimi nawambia

Wa 16 nakubali kwamba inaweza kuwepo vituo vyenye watu 100 au zaidi waliozidi ila usitumie maneno "kila kituo" Kijijini watu wanjuana familia zote na idadi ya watoto ulionao. Kwa hiyo kuna mbinu mbadala kwa ajili ya kuiba kijijini. Ni pamoja na kuonga mawakala na total ya kura isiyokweli.
 

Pamoja na hayo. Mimi naaza kutia shaka na hizo nyaraka. Umejiuliza kwa nini barua ya Chadema ya Kulalamikia vituo feki imeondolewa hapa jamvini? Mimi naona Ushabiki kwa CHADEMA ambao sio makini unaweza kuwaharibia siku hizi za mwisho. Kumbuka tumeambiwa hapa jamvini kuwa Lori la Bakhressa lilikamatwa Tunduma na kura Feki. Dr. Slaa akaitoa hadharani. Ona tamko la The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage

Tuwe makini na tusipoteze dira dakika za majeruhi. Tusikunbali kudanganywa au kutiwa hofu kuhusu kura zetu. Mpigie yule unayeamini kuwa atakuongoza na anafaa kuingia IKULU. Usibadili msimamo wako kwa vitisho kama hivi sana sana kiwe kichocheo cha ku - diqualify mgombea wanaempigia debe. Mimi naona sasa washabiki wa CHADEMA wanapanick. Watuache tuchague bila kutishwa. Atakaye kumpa Dr. Slaa kura yake afanye hivyo kwa kuamini kuwa ni mtu bora na si kutishiwa na nyaraka au hadithi zisizo na ukweli ili tuamini kuwa Dr. Slaa ndio Mkombozi. kwa hila hizi watanifanya nianze kuamini tofauti na nilivyokuwa ninamuona Dr. Slaa. Ebu watu hawa wawe makini katika mikakati yao vinginevyo watampunguzia Mgombea huyo kura zake.
 

Leo Bana na Mdada wa Synovate walikuwa Raio One kile kipindi cha BBC eti walimalizia kwa kusema yale matokeo ya mwanzo yanaweza kubadilika kabisa yakawa sio yale eti katika uwanja wa siasa dakika kumi tuu zinatosha kubadilisha mwelekeo nikajiuliza sana na hitimisho lao lile mpaka sasa natafakari kitu gani kimewafanya wawe na change of mind
 
Wanachadema mna hasira kweli!!!!!!!!!! Sasa hapo una maana gani kutumia Phrase "hoja za kijinga". Nafikiri utabigwa butwaa sana tarehe 31. Kapige kura then subiri uone kama wewe tu ndiyo hauna hoja za kijinga!

Kuna swala hapa ngoja niliweke bayana, Ni kuwa tuondoe itikadi zetu za Udini/Ukabila kwa jambo muhimu kama hili la kuijenga nchi yetu sote sie ni watanzania ni wajibu wetu kuweka maslahi ya NCHI kwanza "COUNTRY FIRST" kwahiyo Mtu atoapo hija na kama unaiona imekaa kimtizamo kama hauelekei basi msahihishe na mpe mtazamo unaoufahamu ni Positive kwa nchi yetu kuliko kuambia oooh wewe ni CCM,CUF,CHADEMA haititusaidi kwani at last iwe ni CHADEMA AU CUF AU CCM atake ongoza bado ni mtanzania mwenzetu na tutamkosoa atakapo kosea na kumsahihisha kama tufanyavyo hapa.

Kama Msemavyo hili Janvi ni la POSITIVE THINKERS basi lets post positive ideals for the sake of our Country.

 

LeopoldByongje,
Kwani kwenye barua hii Dr Slaa, CHADEMA na washabiki wao wanaingiaje/wanahusikaje? Kwa nini sio CCM, CUF, NCCR-Mageuzi au TLP?
 
narudia kusema, ccm inaipeleka nchi kubaya kwa tamaa zao zakutaka kutawala milele, wanataka uongozi wa nchi kwa mabavu, wameshindwa hoja, wameshindwa ushawishi, wanajiaandaa kwa madeni za kihuni, nawaonya Tena, Vijana wa Mwanza nawajua mimi, nawajua walivyo na morali, siku kama 3 hivi Mwanza, lakini nitapiga kura mwanza, nawaonya tena kuacha upuuzi wao, wataibomoa mwanza mapandemapande, Je Taifa liko Tayari kutengeneza wakimbizi baada ya wale wa Pemba ?
 

niliyepost hapo najua nini kinaendelea. ingia ndani ya website ya nec ID 19272313 haina mwenye ID 19272312 ina mwenyewe
hebu ingia kwenye website ya nec uingize hizo namba then uniambie. nakusubiri nina dk 15 kuwa hapa janvini

ndo maana mnaambiwa mrinde kura mkiondoa tu.........
 
Nilikua na mawazo kama hayo hapo Chini.
Ila kuna vitu vingi sana vya kusaidia ushahidi
1.Confirmation ya mkutano Lakairo-Hii tumeipata
2.Kuna Signature, huyu mtu yupo na profile yake ipo kuanzia shule alizosoma-we can get the signature
3.Barua ina muhuri wa Halmashaur, Kama huu mhuri is that much Easy Accesible basi kuna Tatizo.
4.Invisible namuamini sana kwa umekini, na ndo maana JF ipo hapa ilipo.
need I say more?



totally agree with you. Siamini hiyo barua kama imetoka halmashauri ni ya kweli

Selous,

Tarehe 16 Oktoba, JK na msafara wake walikuwa mkoa wa Pwani.

Mimi ninaamini hii barua ni hoax! Invisible ondoa hii thread
 
Kumbe kuna watu wana mtizamo binafsi usiofuata mkumbo wa majority.

I call you GREAT INDEPENDENT THINKERS.

Asanteni sana kwa kutokuendekeza siasa za kishabiki.
 
Dah! Nimechoka Kabisa! Halafu Mwisho wa Siku watasema Uchaguzi Ulikuwa Huru na wa Haki

Nashauri CHADEMA waitoke copy nyingi na Igawiwe kwa Nguvu ya Umma ili iweze Kuhukumu

Gadem Shit
Mimi nimeshasambaza copy za hiyo barua kwa watu wote waliopo kwenye e mail list yangu. Nimezigeuza kuwa pdf.
 

You are right. watu humu wanashindwa kuelewa CCM ina mbinu nyingi za kudiscourage watu. Issue hapa ni kuscare vijana na wasomi waachane na mambo ya kura! Kupata headletter ya ofisi yoyote Tanzania ni rahisi na pia signature inaweza kuwa scanned. Bora hapa watu wangeongelea vipi mawakala wawezeshwe ili iwe ngumu kuwaonga. Na endapo SLaa ataingia kichwakichwa katika ili we definitely shall lose
 
Jamani hii ni vita, raha ya vita ni kujua mbinu za mpinzani wako na kuzitafutia Dawa, sasa tushajua cha msingi ni kuhakikisha kuwa hizo mbinu chafu hazifanikiwi kwa namna yoyote
 
@Buckreef... ulishaponza watu wakala ban na waliua wanasema ukweli kuhusu wewe... uko hapa kuwakilisha watu, umesoma lakini huna weledi ati unasema oindoa thread... kwasababu inakugusa eh???
 
dah hii hali ni mbaya sana kutaka urais kwa kumwaga damu, eti green guard wafanye kazi yao, sasa leo anaenda kuongea TBC1 ili iweje kama wamekubaliana kuwe na vituo hewa kila kata na majina ya vijana yasibandikwe. This is bullshit....Mkwere anatia aibu jamani.
 
Mimi nimeshasambaza copy za hiyo barua kwa watu wote waliopo kwenye e mail list yangu. Nimezigeuza kuwa pdf.

With all due respect, huna uhakika na origin ya document na authenticity yake. Unatuma email kwa chain ya receivers wewe ukiwa kama chanzo cha habari. Huko ni kukurupuka na kunaweza kuwa sawa na uchochezi.
 
Watahitajika wakati NEC inayapokea jimbo linatuma kura 200 PC ya NEC ina-rekodi kura 300 ni kazi ndogo tu hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…