Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Elections 2010 Uchakachuaji HAUPO! - NYARAKA HIZI HAPA NI FAKE

Status
Not open for further replies.
Nakubaliana na wewe kabisa, wenye macho tuliona, na tukaisoma na kwa nguvu za watu wa muheza, msaada wa buckreef na busara za mtanzania, invisble ameondoa

ashukuriwe aliye juu

HATUDANGAYIIIKI WWEWE MWAFRIKA, TUNAFUNIKA KOMBE TU NA MWAKA HUU HATA MKISHINDA CHA MOTO MMEKIONA
 
thibitisha kama ni FAKE na sio kulalama bila ushahidi,
 
Hapa una ushahidi tunakubali na hakuna asiyejua NEC iko gado kuiba kura lakini hii barua hapana


ukizaliwa katika familia na kukuta wazazi wako wanafanya kazi za kitumwa kwako utaona wako sahihi maana ni maisha ulyowakuta wakiishi
akija mtu wa nje na kukwambia ninyi mnafanya kazi za kitumwa lazima ubishi........ mtu mbishi hata awekwe kwenye chupa lazima anyooshe kidole
 
Sasa mbona kichwa cha habari kimebadilishwa bila taarifa yoyote ile? :confused2:
 
Dawa si kubadili title ya hii thread (kwa sasa ndio mmeharibu kabisaaaa).

Dawa ni kuifunga hii thread (trash kama mnavyofanya kwenye mada zingine za udaku).
 
Mbona a while ago hii thread ilikuwa inasomeka vingine na sasa inasomeka vingine? nani kafanya namna hii?????????????????????!
Kwa sasa imeckakachuliwa maana content haifanani na heading, WHAT IS HAPPENING HERE???????????????
 
Copy ya barua hiyo zimeshakuwa nyingi sana na zimeshafika mbali sana karibu kila sehemu ya dunia mpaka sasa. (Compliments to the information technology)
 
Sasa mbona kichwa cha habari kimebadilishwa bila taarifa yoyote ile? :confused2:

Si ndio hapo.
Wa-trash tu hii thread na waombe msamaha kwa kudanganya watu (sio kwa makusudi though).

Kusema kuwa hakuna mchakachuo ndio kupoteza watu kabisaaaaa.
 
1. Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe!







Barua hiyo hapo kwa ambao hawajaiona
 
With all due respect to you Invisible.

Nina kila sababu za kuamini kuwa hii barua ni feki. Naomba wanaharakati muwe makini sana kwenye kutumia hii barua kama uthibitisho wa wizi wa kura.

Bandiko langu hili sio la kumuandama Invisible (a friend and a guy I respect) BUT ni kumu-alert kuwa inawezekana amelishwa kasa.

Uchunguzi uendelee ili kuthibitisha authenticity ya hiyo barua.

Ila kwa sasa, wapiganaji wote tuelekeze nguvu zetu kwenye kuhakikisha kuwa vijana wote wanafika kwenye vituo vya kupiga kura na wanapiga kura kwa wingi sana. Kwa pamoja tutaweza kubadilisha uongozi wa nchi yetu na kuwaondoa hawa majambazi waliopora maliasili zetu zote kwa manufaa yao binafsi na familia zao.

Najua nitaumiza baadhi ya ego for this BUT I had to do this today.

Asante sana kwa jicho lako la tatu, na independent thinking. Wewe ni mwanaharakati objective. Utaitwa proCCM.
 
nakubaliana na wewe kabisa, wenye macho tuliona, na tukaisoma na kwa nguvu za watu wa muheza, msaada wa buckreef na busara za mtanzania, invisble ameondoa

ashukuriwe aliye juu

hatudangayiiiki wwewe mwafrika, tunafunika kombe tu na mwaka huu hata mkishinda cha moto mmekiona
ooppsss... Mwafrika... Naona watu wa muheza na wataalam kama buckreef wameshindwa tena... Yani mada imekua kama afya ya sheikh yahya, migogoro mitupu

eniwei, na uchaguzi ukiisha tu, shikh etu ataanguka rasmi maana mizigo aliyobeba haina mfano
 
hilo ni kwa mwanza

kila kituo kina majina 100 hewa, na jumla ya vituo ni 53,000 nchi zima zidisha hapo uone ccm wana kura ngapi ambzo ni hewa!!

msiwe wabishi na kuanza kupayuka ovyo, hii barua ni ya kweli mimi nawambia

Rev. Masa, Babuyao na ACID,

Kuweni makini sana na wa 16 huyu jamaa huwa anapenda sana kudandia thread za mambo ya wizi wa kura huku akijifanya yeye ni mtu wa usalama, aliahidi kutundika copy ya kura ya wizi za tunduma zilizo kuwa zinatoka zambia, alidai yeye na jamaa zake wamefanikiwa kuzitoa ndani ya gari, baada ya kushtukiwa akaingia mitini, LEO TENA AMEIBUKIA ISSUE YA KURA MWANZA.
 
Mbona a while ago hii thread ilikuwa inasomeka vingine na sasa inasomeka vingine? nani kafanya namna hii?????????????????????!
Kwa sasa imeckakachuliwa maana content haifanani na heading, WHAT IS HAPPENING HERE???????????????

Hii habari inaweza kuwa si ya kweli .... Mimi binafsi naamini kuwa hii barua ni feki
 
kuweni makini na hii barua, ni feki (kwa mtizamo wangu).

Bora invisible ametuondolea wasiwasi kuwa barua hizo ni fake kwa kubadili kichwa cha Thread kuwa UCHAKACHUAJI HAUPO - NYARAKA HIZI NI FAKE. Namuamini Invisible kama mchangia Makini; Lakini kwa hili inabidi atutake radhi kwa kupoteza muda kujadili jambo ambalo ni la Uzushi badala ya kutafakali masuala mazito ya kuelekea uchaguzi.:sad:
 
jamaniiiiiiiii,mbona sioni chochote hapa zaidi ya comments zenuuuu??????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom