zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 11,075
- 9,263
With all due respect to you Invisible.
Nina kila sababu za kuamini kuwa hii barua ni feki. Naomba wanaharakati muwe makini sana kwenye kutumia hii barua kama uthibitisho wa wizi wa kura.
Bandiko langu hili sio la kumuandama Invisible (a friend and a guy I respect) BUT ni kumu-alert kuwa inawezekana amelishwa kasa.
Uchunguzi uendelee ili kuthibitisha authenticity ya hiyo barua.
Ila kwa sasa, wapiganaji wote tuelekeze nguvu zetu kwenye kuhakikisha kuwa vijana wote wanafika kwenye vituo vya kupiga kura na wanapiga kura kwa wingi sana. Kwa pamoja tutaweza kubadilisha uongozi wa nchi yetu na kuwaondoa hawa majambazi waliopora maliasili zetu zote kwa manufaa yao binafsi na familia zao.
Najua nitaumiza baadhi ya ego for this BUT I had to do this today.
mkuu kwanii uamini kuwa ni feki kama hujafanya huo uchunguzi na kututhibitishia kuwa ni feki? jana nimepita mwananyamala nikamsikia kiongozi wa CCM wa shina akiteta na mtu kuwa mwananyamala kuna vituo zaidi ya 20 feki.