Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

Hapo Kenya jirani tu. Vyote vya mafuta na huko kuingia benki vimetokea kabla ya kufika hapa.
 
Anyway, upigani ni jadi hasa kwa Taifa kama Tanzania na pengine hili nalo litapita kama mengine yote.[emoji2827]
 
Mwenye nyumba anakula millioni 60 kwa mwaka.
Yaani milioni 5 tu kwa mwezi.
Kodi ndogo sana.

Hivi naye atasema hajui kinachoendelea kwenye nyumba yake.
 
Mwenye nyumba anakula millioni 60 kwa mwaka.
Yaani milioni 5 tu kwa mwezi.
Kodi ndogo sana.

Hivi naye atasema hajui kinachoendelea kwenye nyumba yake.
Kwenye mkataba kuna kipengele cha kutomruhu kufika bila taarifa
 
Kweli kabisa

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Noma sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…