Uchambuzi: Chama Jr ajifunze Kwa Mwamnyeto

Uchambuzi: Chama Jr ajifunze Kwa Mwamnyeto

Hapa, unaonyesha kuwa wewe ni shabiki la utopolo. Lakini hapo juu, umejifanya wewe ni makolo! Hivyo, wewe ni popo
Hata hivyo, wewe ulifeli huko chuo kikuu, ukarudishwa sekondali! Utamfundishaje aliyeko chuo kikuu mbinu za kufaulu mtihani wa huko chuo kikuu? Kwa nini wewe haukuzitumia hizo mbinu, ili uendelee kuwepo huko?
By professional Mimi ni mchambuzi....

Kuhusu kufundisha mbinu.... inawezekana as coz Kuna namna nyingi za kupata materials
 
Mimi nibshabiki wa Simba na naunga mkono hoja yako. Kuchelewa kufanya maamuzi kwa Chama kunainyima Simba fursa ya mabao ya ushindi. Sasa kama ile alipofanikiwa kuingia ndani ya 18 kulikuwa na haja gani ya kutaka kumpiga chenga yule beki mwarabu? Pale alitakiwa aangalie mapema wapi apeleke mpira maana kina Baleke tayari walikuwa kwenye position nzuri ya ku score.....
Hata mimi nisiyejua mpira namuona Chama ni slow na hata Simba nzima inapenda kuzubaa kupiga picha na mpira. Michuano ya kimataifa haitaki mbwembwe, tembeza mpira tengeneza nafasi haraka twende. Mambo ya kujigeuzageuza unaenda mbele na kurudi nyuma yaachwe Mapinduzi cup.
Kibu angalau siku hizi anajitahidi kufanya maamuzi ya haraka na yasiyotarajiwa.

Yanga nimeona mbinu ya kocha kwa Rivers kipindi cha kwanza aliweka mabeki watano akicheza kwa tahadhari, kipindi cha pili akaweka wanne baada ya kuona kawamudu wapinzani, mbinu nzuri. Simba nadhani iliingia kwa tahadhari sana ila uwanja ulitusaidia, kuzubaa kumetukosesha nafasi nzuri.
 
Eti Nini? Chama mwenye jumla ya assists 14 kwenye mashindano yote eti akajifunze kwa Mwamnyeto mwenye jumla ya assist 1? Luc Emayel na Hersi walielezea vizuri sifa za topolos.
 
Ama hakika
FB_IMG_1682362490497.jpg
 
Mechi iliyopita chama alizingua sio siri , waydad ni wazuri ndio ila mechi ya majuzi iliwakataa kabisa na simba ilikuwa game yao wakawa wanakatika tuu uwanjani, kule Morocco hakuna rangi wataacha iona
Bro nikiitafakari hii mechi inayofuata pale mjini Casablanca dah. Ule uwanja una records nzuri sana kwa Whydad, hakika wanajua kuutumia uwanja wa nyumbani. Yaani tukienda na mentality ya kudefend haka kagoli kamoja hakika tutapoteana....
 
Eti Nini? Chama mwenye jumla assists 14 kwenye mashindano yote eti akajifunze kwa Mwamnyeto mwenye jumla ya assist 1? Luc Emayel na Hersi walielezea vizuri sifa za topolos.
Ligue.....akikutana na kina ihefu + prison
 
Mimi nibshabiki wa Simba na naunga mkono hoja yako. Kuchelewa kufanya maamuzi kwa Chama kunainyima Simba fursa ya mabao ya ushindi. Sasa kama ile alipofanikiwa kuingia ndani ya 18 kulikuwa na haja gani ya kutaka kumpiga chenga yule beki mwarabu? Pale alitakiwa aangalie mapema wapi apeleke mpira maana kina Baleke tayari walikuwa kwenye position nzuri ya ku score.....
Mchezaji yupi mwenye takwimu bora za magoli na assist Simba hadi sasa?
Kama ni huyohuyo Chama basi hatuna cha kukukosoa , hakuna mchezaji mwenye sifa za uchezaji za wachezaji wote labda Mungu mwenyewe.
Wewe unasema anachelewa kufanya maamuzi hao unaodai wanawahi kufanya maamuzi wamemzidi goals contributions?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mimi nibshabiki wa Simba na naunga mkono hoja yako. Kuchelewa kufanya maamuzi kwa Chama kunainyima Simba fursa ya mabao ya ushindi. Sasa kama ile alipofanikiwa kuingia ndani ya 18 kulikuwa na haja gani ya kutaka kumpiga chenga yule beki mwarabu? Pale alitakiwa aangalie mapema wapi apeleke mpira maana kina Baleke tayari walikuwa kwenye position nzuri ya ku score.....
Mkuu unatakiwa uangalie upande wa pili je wenzake wanajua kukaa kwenye nafasi ya kufunga ? Wachezaji wa simba wengi wanachelewa kufika kwenye tukio.
 
Back
Top Bottom