By professional Mimi ni mchambuzi....Hapa, unaonyesha kuwa wewe ni shabiki la utopolo. Lakini hapo juu, umejifanya wewe ni makolo! Hivyo, wewe ni popo
Hata hivyo, wewe ulifeli huko chuo kikuu, ukarudishwa sekondali! Utamfundishaje aliyeko chuo kikuu mbinu za kufaulu mtihani wa huko chuo kikuu? Kwa nini wewe haukuzitumia hizo mbinu, ili uendelee kuwepo huko?
Hata mimi nisiyejua mpira namuona Chama ni slow na hata Simba nzima inapenda kuzubaa kupiga picha na mpira. Michuano ya kimataifa haitaki mbwembwe, tembeza mpira tengeneza nafasi haraka twende. Mambo ya kujigeuzageuza unaenda mbele na kurudi nyuma yaachwe Mapinduzi cup.Mimi nibshabiki wa Simba na naunga mkono hoja yako. Kuchelewa kufanya maamuzi kwa Chama kunainyima Simba fursa ya mabao ya ushindi. Sasa kama ile alipofanikiwa kuingia ndani ya 18 kulikuwa na haja gani ya kutaka kumpiga chenga yule beki mwarabu? Pale alitakiwa aangalie mapema wapi apeleke mpira maana kina Baleke tayari walikuwa kwenye position nzuri ya ku score.....
Jifananisheni na Zalan.Ndiyo level mliyomayo.Sababu zipo mzee
Kitakuwa jambo jema sana kwa manufaa makubwa zaidi ya Simba Sports ClubKocha anaweza kumtengeneza
Bro nikiitafakari hii mechi inayofuata pale mjini Casablanca dah. Ule uwanja una records nzuri sana kwa Whydad, hakika wanajua kuutumia uwanja wa nyumbani. Yaani tukienda na mentality ya kudefend haka kagoli kamoja hakika tutapoteana....Mechi iliyopita chama alizingua sio siri , waydad ni wazuri ndio ila mechi ya majuzi iliwakataa kabisa na simba ilikuwa game yao wakawa wanakatika tuu uwanjani, kule Morocco hakuna rangi wataacha iona
Asingekuwa huko aliko angekuwa kwa wenye akili wenzakeLkn ana akili kubwa ya kuzaliwa
Mbu mbuAma hakikaView attachment 2598737
Baleke mzee?Mkuu Simba ni timu ya wazee
Mchezaji yupi mwenye takwimu bora za magoli na assist Simba hadi sasa?Mimi nibshabiki wa Simba na naunga mkono hoja yako. Kuchelewa kufanya maamuzi kwa Chama kunainyima Simba fursa ya mabao ya ushindi. Sasa kama ile alipofanikiwa kuingia ndani ya 18 kulikuwa na haja gani ya kutaka kumpiga chenga yule beki mwarabu? Pale alitakiwa aangalie mapema wapi apeleke mpira maana kina Baleke tayari walikuwa kwenye position nzuri ya ku score.....
Mkuu unatakiwa uangalie upande wa pili je wenzake wanajua kukaa kwenye nafasi ya kufunga ? Wachezaji wa simba wengi wanachelewa kufika kwenye tukio.Mimi nibshabiki wa Simba na naunga mkono hoja yako. Kuchelewa kufanya maamuzi kwa Chama kunainyima Simba fursa ya mabao ya ushindi. Sasa kama ile alipofanikiwa kuingia ndani ya 18 kulikuwa na haja gani ya kutaka kumpiga chenga yule beki mwarabu? Pale alitakiwa aangalie mapema wapi apeleke mpira maana kina Baleke tayari walikuwa kwenye position nzuri ya ku score.....