Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Huu sio ucha-mbuzi, ni ucha-bundiMwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election.
Hapa chini ni sehemu ya
Hoja zao ambazo zimejaa udhaifu mtupu:
1. No reform No election ililenga kutengeneza political pressure tu (yaani ilikuwa ni fake movement tu) lakini haikudhamiria kuzuia au kususia uchaguzi.
2. Kususia uchaguzi kutaifanya CHADEMA kukosa ruzuku hivyo kushindwa kujiendesha.
3. Mazingira haya haya ya ovyo ya uchaguzi yanatosha kabisa kuitoa CCM madarakani mwaka huu 2025.
4. Sio lazima kushiriki uchaguzi ili kuitoa CCM madarakani bali tushiriki uchaguzi hivyo hivyo tu ili tuendelee kuwa chama kikuu cha upinzani maana tumefanya hivyo miaka mingine yote iliyopita.
5. Hakuna namna mkakati wa No Reform No Election utafanikiwa.
6. Huu mkakati wa No reform No election ni mkakati binafsi wa Lissu na Maria Sarungi katika kukiangamiza Chadema kwa maslahi yao binafsi.
7. Mkakati wa kuchangia pesa Chadema (tone tone) hauwezi kufika popote na hauwezi kuipatia Chadema pesa za kutosha kuweza kujiendesha. Ruzuku ndio kitu cha uhakika.
8. Mkakati wa No reform, No election ili kuzuia kufanyika kwa uchaguzi au kushinikiza kutokufanyika kwa uchaguzi ni kinyume cha katiba na kinyume cha sheria za Tanzania.
9. Mkakati wa No reform No election ni udikteta wa Lissu ili kuwanyima fursa watia nia wa ubunge na udiwani kupata vyeo.
10. Watapambana kwa gharama zote kuhakikisha mkakati wa No reform No election unafutika na wao lazima washiriki huu uchaguzi maana walishajiandaa kushiriki huu uchaguzi.
Ukitazama kwa umakini na karibu sana utagundua hili kundi lina njaa kali na limeona fursa pekee ya kupiga pesa ni kupitia ushiriki wa huu uchaguzi, halina uchungu wowote na watanzania wala mustakabari wa nchi yetu unaopiganiwa na CHADEMA.
Ni ukulumbembeHuu sio ucha-mbuzi, ni ucha-bundi
Hizi toilet paper zipo kwenye payroll ya CCM kueneza propaganda mfu ambazo zimeshakataliwa na Watanzania.Wawe na hoja wasiwe nayo, hili siyo jambo jema kwa CHADEMA. Busara kubwa inahitajika!
View attachment 3295612View attachment 3295613View attachment 3295614View attachment 3295615
Ndiyo!Hizi toilet paper zipo kwenye payroll ya CCM kueneza propaganda mfu ambazo zimeshakataliwa na Watanzania.
Hakuna mpasuko CHADEMA. Watu wasiozidi 20 waliopo kwenye payroll ya CCM kufanya siasa za udalali huwezi kusema wanaleta mpasuko CHADEMA.
CHADEMA inaendelea na kampeni kabambe ya No Reform No Election huko Kanda ya Kusini. Washauri wajikite kutoa taarifa za CHADEMA huko kusini na muendelezo wa kampeni yao sio hizi takataka zinazolipwa na CCM
CHADEMA haina fedha za kuchezea namna hiyo.Ndiyo!
Hata CHADEMA wanaweza kununua hizi toilet papers zikawasaidia kueneza propaganda zao. Information is power and is the sole ingredient of an effective propaganda scheme.
Kulikuwa na mpango wa CHADEMA kuwa na TV station yake. Ingependeza mno! Gazeti la Tanzania Daima nalo sijui lilifia wapi. Mwanahalisi nalo siku hizi wala halieleweki.
Pengine uko sahihi kwamba hakuna mpasuko CHADEMA. Pengine hauko sahihi. Muda utatupa majibu!
Hoja zimekaa Ki-Wasira-wasira,hazijakaa Kichadema kabisa!Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election.
Hapa chini ni sehemu ya
Hoja zao ambazo zimejaa udhaifu mtupu:
1. No reform No election ililenga kutengeneza political pressure tu (yaani ilikuwa ni fake movement tu) lakini haikudhamiria kuzuia au kususia uchaguzi.
2. Kususia uchaguzi kutaifanya CHADEMA kukosa ruzuku hivyo kushindwa kujiendesha.
3. Mazingira haya haya ya ovyo ya uchaguzi yanatosha kabisa kuitoa CCM madarakani mwaka huu 2025.
4. Sio lazima kushiriki uchaguzi ili kuitoa CCM madarakani bali tushiriki uchaguzi hivyo hivyo tu ili tuendelee kuwa chama kikuu cha upinzani maana tumefanya hivyo miaka mingine yote iliyopita.
5. Hakuna namna mkakati wa No Reform No Election utafanikiwa.
6. Huu mkakati wa No reform No election ni mkakati binafsi wa Lissu na Maria Sarungi katika kukiangamiza Chadema kwa maslahi yao binafsi.
7. Mkakati wa kuchangia pesa Chadema (tone tone) hauwezi kufika popote na hauwezi kuipatia Chadema pesa za kutosha kuweza kujiendesha. Ruzuku ndio kitu cha uhakika.
8. Mkakati wa No reform, No election ili kuzuia kufanyika kwa uchaguzi au kushinikiza kutokufanyika kwa uchaguzi ni kinyume cha katiba na kinyume cha sheria za Tanzania.
9. Mkakati wa No reform No election ni udikteta wa Lissu ili kuwanyima fursa watia nia wa ubunge na udiwani kupata vyeo.
10. Watapambana kwa gharama zote kuhakikisha mkakati wa No reform No election unafutika na wao lazima washiriki huu uchaguzi maana walishajiandaa kushiriki huu uchaguzi.
Ukitazama kwa umakini na karibu sana utagundua hili kundi lina njaa kali na limeona fursa pekee ya kupiga pesa ni kupitia ushiriki wa huu uchaguzi, halina uchungu wowote na watanzania wala mustakabari wa nchi yetu unaopiganiwa na CHADEMA.
gharama yote hii kubwa lengo ni kuisambaratisha chadema, wakiimaliza chadema wajue **** act wazalendo, hawatapumzikaHizi toilet paper zipo kwenye payroll ya CCM kueneza propaganda mfu ambazo zimeshakataliwa na Watanzania.
Hakuna mpasuko CHADEMA. Watu wasiozidi 20 waliopo kwenye payroll ya CCM kufanya siasa za udalali huwezi kusema wanaleta mpasuko CHADEMA.
CHADEMA inaendelea na kampeni kabambe ya No Reform No Election huko Kanda ya Kusini. Washauri wajikite kutoa taarifa za CHADEMA huko kusini na muendelezo wa kampeni yao sio hizi takataka zinazolipwa na CCM
Ni kawaida yao, wamekuwa wakitishia toto halafu wanavuta mkwanja toka ccm wanaweka mfukoni kisha wanatulia.No reform No election ililenga kutengeneza political pressure tu (yaani ilikuwa ni fake movement tu) lakini haikudhamiria kuzuia au kususia uchaguzi
Sijui ndiyo TISS imewatengenezea hoja hizi au ni akili ya Mrema John tu...Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election.
Hapa chini ni sehemu ya
Hoja zao ambazo zimejaa udhaifu mtupu:
1. No reform No election ililenga kutengeneza political pressure tu (yaani ilikuwa ni fake movement tu) lakini haikudhamiria kuzuia au kususia uchaguzi.
2. Kususia uchaguzi kutaifanya CHADEMA kukosa ruzuku hivyo kushindwa kujiendesha.
3. Mazingira haya haya ya ovyo ya uchaguzi yanatosha kabisa kuitoa CCM madarakani mwaka huu 2025.
4. Sio lazima kushiriki uchaguzi ili kuitoa CCM madarakani bali tushiriki uchaguzi hivyo hivyo tu ili tuendelee kuwa chama kikuu cha upinzani maana tumefanya hivyo miaka mingine yote iliyopita.
5. Hakuna namna mkakati wa No Reform No Election utafanikiwa.
6. Huu mkakati wa No reform No election ni mkakati binafsi wa Lissu na Maria Sarungi katika kukiangamiza Chadema kwa maslahi yao binafsi.
7. Mkakati wa kuchangia pesa Chadema (tone tone) hauwezi kufika popote na hauwezi kuipatia Chadema pesa za kutosha kuweza kujiendesha. Ruzuku ndio kitu cha uhakika.
8. Mkakati wa No reform, No election ili kuzuia kufanyika kwa uchaguzi au kushinikiza kutokufanyika kwa uchaguzi ni kinyume cha katiba na kinyume cha sheria za Tanzania.
9. Mkakati wa No reform No election ni udikteta wa Lissu ili kuwanyima fursa watia nia wa ubunge na udiwani kupata vyeo.
10. Watapambana kwa gharama zote kuhakikisha mkakati wa No reform No election unafutika na wao lazima washiriki huu uchaguzi maana walishajiandaa kushiriki huu uchaguzi.
Ukitazama kwa umakini na karibu sana utagundua hili kundi lina njaa kali na limeona fursa pekee ya kupiga pesa ni kupitia ushiriki wa huu uchaguzi, halina uchungu wowote na watanzania wala mustakabari wa nchi yetu unaopiganiwa na CHADEMA.
Dikteta Mbowe bado hajakubali kushindwa!Wawe na hoja wasiwe nayo, hili siyo jambo jema kwa CHADEMA. Busara kubwa inahitajika!