Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hiyo ndo hegemony (nguvu ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi) na geopolitics (nguvu ya kisiasa kimataifa inounganishwa na eneo la kijiografia).Urusi wanairudisha nyuma Dunia enzi za Goliati na Daudi,yaani mwenye nguvu anaweza kuongeza enao la nchi yake anavyo taka,Hali hiyo haiheshimu mipaka ya nchi Dunia ikenda huko basi vita zitakuwa nyingi sana ni heri Dunia ikaungana kupinga Hilo Putuni hafai
Kama aliiacha asingeendelea kuishambulia kwa mabomu anopewa na NATO.Ukraine aliiacha Crimea kitambo ila Urusi alitaka eneo zaid ndo shida ilianzia hapo
FAFO ya October 07 hiyo.Mkuu, hata Marekani wenyewe wametoa taswira mbaya sanakwa kuwaachia Israeli waue watu wanavyopenda huko Gaza na sasa Lebanon.
Ni wazi kabisa kinofanyika ni uhalifu wa kivita lakini hata UN mikono imefungwa.
Mrusi hajapogana hovyo hovyo kama isreael alivyopogana kwa msaada wa usaMkuu, hata Marekani wenyewe wametoa taswira mbaya sanakwa kuwaachia Israeli waue watu wanavyopenda huko Gaza na sasa Lebanon.
Ni wazi kabisa kinofanyika ni uhalifu wa kivita lakini hata UN mikono imefungwa.
Mkuu, sasa hivi anaewindwa ni Ayatollah Khamenei na alindwa masaa yote kiwa chini ya uangalizi maalum.Waarabu WA buza bwana,Yani Rais wao kauawa,hanniya kauawa Teheran etii Leo Irani ana nguvu,hakuna nchi mashariki ya kati anaweza pigana na israeli
Kama unadhani Putin atakuwa na free lunch kutoka kwa trump pitia hii article, Nina hakika utarudi hapa kunishukur 🙏 🙏 🙏Kuingia kwa Trump inamaanw mwenye negotiations power kubwa hapo ni mrusi, subiri uone kama mrusi ataachia maeneo hayo
Fikra za namna hii zikipaliliwa Dunia haita kalika itakuwa vita Kila siku kwani hao wanyonge hawapo tayari kutawaliwa na wenye nguvu,chukulia nchi yako inatwaliwa na wageni na Mali zako wanasambaratisha,unalazishwa kuwatumikia ni wapuuzi watakaoikubali hali hiyo lkn wanaume kama Ukraine watakuwa tayari kufaMkuu, hiyo ndo hegemony (nguvu ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi) na geopolitics (nguvu ya kisiasa kimataifa inounganishwa na eneo la kijiografia).
Unalinda rasilimali zako na zingine ukiona zamendewa au kumezewa mate ndo waziwahi kuzilinda.
Gaza ndio mradi wa Marekani lakini asiwe na tamaa, pana gesi ya kutosha pale.
Dunia yasonga mbele sasa mwenye nguvu mpishe.
Afrika ina uamuzi iende China na Russia au iende magharibi na Marekani.
Mkiwa hamujui mambo msipende kujidhihirisha kama muna upumbavu mwingi kiasi hiki jipya lipi alolifanya Russia ambalo marekani ufaransa Uingereza mnawaona wamestaarabika hawajalifanya kama mipaka marekani kabeba Guam kabeba guantanamo bay kabeba sehemu tele mkiwa hamuna akili musitake kila mtu ajue kama hamna akiliUrusi wanairudisha nyuma Dunia enzi za Goliati na Daudi,yaani mwenye nguvu anaweza kuongeza enao la nchi yake anavyo taka,Hali hiyo haiheshimu mipaka ya nchi Dunia ikenda huko basi vita zitakuwa nyingi sana ni heri Dunia ikaungana kupinga Hilo Putuni hafai
Kama ilivyo toa taswira mbaya marekani kuteka maeneo ya watu ama sijakuelewaKama ni hivyo Urusi itakuwa imetoa taswira mbaya sana Duniani, sasa Nchi yoyote yenye nguvu inaweza kumvamia jirani yake na kuteka eneo lolote ilitakalo na kusema kuwa ni lake.
Wanyonge wengine mbona hamkuwasemea au hamuwasemei au wao hawafai kusemewaFikra za namna hii zikipaliliwa Dunia haita kalika itakuwa vita Kila siku kwani hao wanyonge hawapo tayari kutawaliwa na wenye nguvu,chukulia nchi yako inatwaliwa na wageni na Mali zako wanasambaratisha,unalazishwa kuwatumikia ni wapuuzi watakaoikubali hali hiyo lkn wanaume kama Ukraine watakuwa tayari kufa
Kwani marekani akitenda uharifu ndo uharifu kuendelea we mbona lugha yako si ya kistaarabu?Mkiwa hamujui mambo msipende kujidhihirisha kama muna upumbavu mwingi kiasi hiki jipya lipi alolifanya Russia ambalo marekani ufaransa Uingereza mnawaona wamestaarabika hawajalifanya kama mipaka marekani kabeba Guam kabeba guantanamo bay kabeba sehemu tele mkiwa hamuna akili musitake kila mtu ajue kama hamna akili
Kama nimekukwaza kwa lugha zangu naomba uniwie radhi sana mkuu nisamehe ila kama uhalifu hautakiwi uendelee kwanza lazima haki za watu zilizochukuliwa huko kwengine na wengine zirejeshwe marekani mtoaji msaada mkubwa kwa ukraine ili arejeshe maeneo yake wakati huo huo yeye anakalia maeneo ya watu unapata uhalali gani wakuikandia Russia kwanza kabla ya kuanzia na marekani anaijaza silaha UkraineKwani marekani akitenda uharifu ndo uharifu kuendelea we mbona lugha yako si ya kistaarabu?
Hakuna muharifu anayepaswa kutetewa awe Rasia,Iran,Israeli au USAKama nimekukwaza kwa lugha zangu naomba uniwie radhi sana mkuu nisamehe ila kama uhalifu hautakiwi uendelee kwanza lazima haki za watu zilizochukuliwa huko kwengine na wengine zirejeshwe marekani mtoaji msaada mkubwa kwa ukraine ili arejeshe maeneo yake wakati huo huo yeye anakalia maeneo ya watu unapata uhalali gani wakuikandia Russia kwanza kabla ya kuanzia na marekani anaijaza silaha Ukraine
Kama yupi mkuu hatumsemeiWanyonge wengine mbona hamkuwasemea au hamuwasemei au wao hawafai kusemewa
Siku Cuba ikiachana na Ukomunisti itarudishiwa Guantanamo BayKama ilivyo toa taswira mbaya marekani kuteka maeneo ya watu ama sijakuelewa