mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Du mara hii si tuliambiwa Chato ni Tanzania tufunge mabakuli yetu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aasa wanasema je mbona wanalia ruti hain faidahivi unajua chato kunanini..Chatao kuna mbuga za brigi na rubombo kwa ajili ya utalii... Chato panafunguliwa mgod mkubwa sana wa dhahabu kuliko GGM amabo utakaa miaka 30-40 life span waith high grade gold in Africa and South America. usifate ujinga wakupinga kama wabunge amabo wanalirputa bila kufanya utafiti