Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Tunangoja na mama samia nae akajenge uwanja kijijini kwao.Kwendraaaa huko. Uwanja wanatumia familiya ya magufuli tu? Achana na mm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunangoja na mama samia nae akajenge uwanja kijijini kwao.Kwendraaaa huko. Uwanja wanatumia familiya ya magufuli tu? Achana na mm.
itakuwa miliki ya jeshi,kambi ya jeshi ipo 1km Hadi uwanja ulipoHuu uwanja mtafugia mbuzi we subiri utaona. Hata Mpanda wanafugia mbuzi ule uwanja wao
wapashe hao nyumbu vibaraka wa mabeberu dawa iwaingie , uwanja huo umejengwa kimkakati, isitoshe pia Mgodi wa akabanga nickel utakapoanza vifaa vingi vya Mgodi vitashushwa hapo Chato na Transit cargo Vehicle ndo zitakazokua zinapokelea hapo mizigo hiyo straight to Ngara ambayo ki Geografia haiko mbali na Chato..mbali na hilo labda tukujuze abiria wanaotoka kanda hizo mfano ngara, Biharamulo nk itawarahisishia kufanya safari zao straight to Dar pia wana Geita kwa ujumla so huo ulimbukeni wa mtoa mada kuhusu uwanja wa Chato ajifikirie mara mbili mbili, na sio kubwatika kama shoga yao TUNDU LISUhivi unajua chato kunanini..Chatao kuna mbuga za brigi na rubombo kwa ajili ya utalii... Chato panafunguliwa mgod mkubwa sana wa dhahabu kuliko GGM amabo utakaa miaka 30-40 life span waith high grade gold in Africa and South America. usifate ujinga wakupinga kama wabunge amabo wanalirputa bila kufanya utafiti
Dodoma soon tunaanza ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa ambao utaitwa MSALATO INTERNATIONAL AIRPORT upo apo we @ LycaonDodoma, makao makuu ya nchi hamna uwanja wa ndege wa kimataifa lakini Chato upo!!!!! Mbaya zaidi kuna watu walitetea kwa nguvu zote.
!?Naona Kiki ya Lissu imebuma
sasa mnatafuta mtokee wapi tena!!
Mtalii gani ataenda brig na rubondo aache kwenda Serengeti na Ngorongoro. Unapoteza muda kutetea ujingahivi unajua chato kunanini..Chatao kuna mbuga za brigi na rubombo kwa ajili ya utalii... Chato panafunguliwa mgod mkubwa sana wa dhahabu kuliko GGM amabo utakaa miaka 30-40 life span waith high grade gold in Africa and South America. usifate ujinga wakupinga kama wabunge amabo wanalirputa bila kufanya utafiti
We subiri sasa makamu wa Raisi ni Dr Mpango kule kwetu Kasulu tutaanziasha international aiport pia sijui utasemaje hahahahahMtalii gani ataenda brig na rubondo aache kwenda Serengeti na Ngorongoro
Unapoteza sana valuable resources (muda). Logistically, hao Kabanga Nickel wanatumia sana uwanja wa Mwanza ambako kuna amenities zingine nyingi kuliko Chato. Chato itabaki uwanja wa kumbukumbu kwamba kulishawahi kuwa na raisi anatokea pande zile. Usisahau kwamba Kabanga Nickel wanapokuwa na ndege ndogo wanatua moja kwa moja Ngara airstrip, uwanja uliokuwa unatumiwa na UNHCR wakati wa wimbi la wakimbizi miaka ya 1990.wapashe hao nyumbu vibaraka wa mabeberu dawa iwaingie , uwanja huo umejengwa kimkakati, isitoshe pia Mgodi wa akabanga nickel utakapoanza vifaa vingi vya Mgodi vitashushwa hapo Chato na Transit cargo Vehicle ndo zitakazokua zinapokelea hapo mizigo hiyo straight to Ngara ambayo ki Geografia haiko mbali na Chato..mbali na hilo labda tukujuze abiria wanaotoka kanda hizo mfano ngara, Biharamulo nk itawarahisishia kufanya safari zao straight to Dar pia wana Geita kwa ujumla so huo ulimbukeni wa mtoa mada kuhusu uwanja wa Chato ajifikirie mara mbili mbili, na sio kubwatika kama shoga yao TUNDU LISU
Nani kakwambia mgodi unahitaji kujengewa uwanja wa ndege wa kimataifa.GGM na Mwadui nazo zingejengewa international airportswapashe hao nyumbu vibaraka wa mabeberu dawa iwaingie , uwanja huo umejengwa kimkakati, isitoshe pia Mgodi wa akabanga nickel utakapoanza vifaa vingi vya Mgodi vitashushwa hapo Chato na Transit cargo Vehicle ndo zitakazokua zinapokelea hapo mizigo hiyo straight to Ngara ambayo ki Geografia haiko mbali na Chato..mbali na hilo labda tukujuze abiria wanaotoka kanda hizo mfano ngara, Biharamulo nk itawarahisishia kufanya safari zao straight to Dar pia wana Geita kwa ujumla so huo ulimbukeni wa mtoa mada kuhusu uwanja wa Chato ajifikirie mara mbili mbili, na sio kubwatika kama shoga yao TUNDU LISU
ishu ni kwamba ata mambo ya mining hujui chochote wacha tukuelimishe sisi ma TXNani kakwambia mgodi unahitaji kujengewa uwanja wa ndege wa kimataifa.GGM na Mwadui nazo zingejengewa international airports
hivi unajua chato kunanini..Chatao kuna mbuga za brigi na rubombo kwa ajili ya utalii... Chato panafunguliwa mgod mkubwa sana wa dhahabu kuliko GGM amabo utakaa miaka 30-40 life span waith high grade gold in Africa and South America. usifate ujinga wakupinga kama wabunge amabo wanalirputa bila kufanya utafiti
Ndio maana,Nipo Mkoa nilipozaliwa na Mama nae yupo Mkoa alikozaliwa pia!
Pointi yako nini haswa????.
Nakwambia hawa watu wana mavi kichwaniNani kakwambia mgodi unahitaji kujengewa uwanja wa ndege wa kimataifa.GGM na Mwadui nazo zingejengewa international airports
Gbadolite ya Tanzania haina tofauti na ile ya Congo wakati ule Zaire !!! Asante Munguwapashe hao nyumbu vibaraka wa mabeberu dawa iwaingie , uwanja huo umejengwa kimkakati, isitoshe pia Mgodi wa akabanga nickel utakapoanza vifaa vingi vya Mgodi vitashushwa hapo Chato na Transit cargo Vehicle ndo zitakazokua zinapokelea hapo mizigo hiyo straight to Ngara ambayo ki Geografia haiko mbali na Chato..mbali na hilo labda tukujuze abiria wanaotoka kanda hizo mfano ngara, Biharamulo nk itawarahisishia kufanya safari zao straight to Dar pia wana Geita kwa ujumla so huo ulimbukeni wa mtoa mada kuhusu uwanja wa Chato ajifikirie mara mbili mbili, na sio kubwatika kama shoga yao TUNDU LISU
Asante nawe pia!🙈Sawa Mkuu wa Mkoa Mpya wa Chato!.
Hongera kwa kuwa na akili isiyokuwa duni!.
Mungu akujaalie uendelee na hizo taarabu kama Hayati Mtakatifu!.