Uchambuzi- Haya ndiyo maeneo yaliyorekebishwa kwenye katiba ya CCM ya mwaka 1977

Uchambuzi- Haya ndiyo maeneo yaliyorekebishwa kwenye katiba ya CCM ya mwaka 1977

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977.

Na Bwanku M Bwanku.

Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo yote 12 yaliyofanyiwa Marekebisho kwenye Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2020.

Kama tunavyofahamu, mwishoni mwa Wiki iliyopita, Ijumaa Aprili 01, 2022, CCM kupitia kwa Mkutano Mkuu wake Maalum uliofanyika Dodoma ilifanya Marekebisho ya Katiba yake kwa kuongeza baadhi ya vifungu kwenye katiba hiyo ili izidi kuendana na Ulimwengu wa sasa na matarajio ya Watanzania.

Hivyo, nimechambua maeneo yote na Vipengele vyote vilivyofanyiwa marekebisho na kuongezwa kwa Vifungu. CCM ni Chama kinachoongoza Taifa letu, jambo lolote la CCM lina maslahi ya moja kwa moja kwa Taifa zima na Watanzania wote. Pata sasa Nakala ya Gazeti hili usome Marekebisho yote mapya ndani ya Katiba ya CCM.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com

IMG-20220406-WA0016.jpg


IMG-20220405-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom