Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Ah washatoka wachezaji hawana hawa.
Ila walivyo wajinga watashughulishwa na Yanga kuliko timu lao kolouzdad.
Katika hii hatua timu zimekaza TP mazembe imemkazia Petro De Luanda.
Asec imemkazia Esperance akiwa kwa Tunisia.
Nina wasi wasi kuna timu kubwa nyingi kutoka na kuaga mashindano.
Nina wasi wasi sana.
 
Hata kocha wa Al Ahly akiwa Simba hawezi kuitoa Al Ahly pia. Tatizo sio kocha ni una wachezaji wa kiwango gani na ubora upi?
Simba msimu huu usajili haukuwa mzuri na isitoshe wachezaji tegemezi ni wale wale miaka tano sasa ingizo jipya hawana uzuri isipokuwa wachache labda wawili tena cha kawaida mno.
Yanga nimeamini wana kocha mzuri saana na kafanya wachezaji kucheza kwa kufurahia kwa umoja mfano. Mudathir, Mkude,Mzize ni wa kawaida mno lakini kaweka umoja mshikamano collective playing. Illa nao Yanga wakipotea kidogo hassa kocha na uongozi wana wachezaji wa kawaida mno, uzuri wana umoja.
Simba umoja upo mdomoni sana wana watu ndani wana ghubu.
Simba itaondolewa na Yanga pia.
Illa Mpira wa,Yanga hautabiriki huenda kwa asilimia chache wakafunga hata goli moja halafu mchezo ukawa mgumu kwa Mamelodi. Simba mpaka afunge goli Cairo apate nafasi tano... ambazo ngumu saana. Yote kwa yote siku chache zijazo ndio muamuzi.
Killa la heri Simba na Yanga.
 
Katika timu zote ni Simba tu kapigika tena kwake.
Asec mimosa ni bora kuliko Simba.
Asec kamkazia Esperance kwao Tunisia.
Ilhali wewe simba umepigwa kwako,unadhani kwa Pharaoh utapona??
Yanga tulipoenda Cairo tulibadilikiwa na wale waarabu mpaka sikuamini kama ndio tulicheza nao Mkapa.
 
Unatoa hoja/swali alafu unajijibu mwenyewe. Waswahili tukiamka na hangover tuna shida sana
Hapana mkuu...kama ulisoma shule....& na haukukimbia umande utaelewa
Kwenye research.....kunakitu kinaitwa research hypothesis.....so unauliza maswali but Kuna kuwa na prediction ya majibu Ili kumsaidia respondent
 
Simba Kushinda Inawezekana kabisa 🐒
 
Simba jiandaeni tu na ligi ya bongo.... kimataifa hampo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…