Uchambuzi: Je, nini Robertinho ilibidi afanye ili kukwepa mnara wa 5G

Uchambuzi: Je, nini Robertinho ilibidi afanye ili kukwepa mnara wa 5G

Baada ya magoli mawili kupatikana Baleke alishuka chini kusaidiana na akina Kanoute kukata umeme. Lile pira ni la kiroho mbaya sijawahi kuona. Washabiki wa Yanga walikuwa wamepanic na kuona Kila mchezaji wao mzembe kumbe walikuwa hata kudrible mara tatu tu hawaruhusiwi. Ukidrible tu, mtu anazama Uvunguni zinapigwa tackles mserereko balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah Ile mechi ilikuwa ngumu mno....kibu anatisha,mzamiru anatisha....kanoute anatisha
 
Makolo, mnahitaji kusajili wachezaji wa maana. Kwa team mliyonayo sasa hivi, nje ya first eleven, ni mchezaji mmoja tu au wawili ndio wanaweza kuleta impact uwanjani. Wengine wote magarasa.

Matokeo yake, mmekua mkiwatumia wachezaji walewale kila siku, kila mechi bila kufanya rotation kwa sababu benchi hakuna watu. Mbaya zaidi, wachezaji hao mnaowachezesha kila siku, umri umeenda sana. Matokeo yake ni exhaustion ya kufa mtu.

Game ya jana ilikua ni total domination, sio physically wala technically. Tuliwakamata kila sehemu!

NB: Wakati Gamondi anahudhuria mechi zenu mlimkashifu, mkamualika aje na mazoezini. Laiti mngejuaaaaa!
Gamondi angekubali mualiko wa mazoezini yangetokea mauaji ya kimbari.
 
Back
Top Bottom