Uchambuzi kuhusu Azizi Ki na dimba la Kati kwa ujumla

UT
O si huwa wanasema hawana mchezaji tegemeo kuwa yeyote kwao anaweza kucheza na lisiwepo pengo.

Inakuaje tena Aucho anakumbukwa katikati ya msiba.
 
Namba 10 kitu gani brother, Siku hizi Mpira unachezwa kwa roles sio positions, moja ya shida naiona kwenye mpira wa leo huku kwetu ni wachezaji kutaka Ku occupy hizo rigid positions kwamba ni lazima Aziz awepo kwenye zone 14 bila kuzingatia phases of play, kitu kinachopelekea the team doesn't travel together, ukiwa unacheza Mpira kwa roles utaona namna mpira ulivyo simple na namna roles za wachezaji zinavyobadilka na ku affect the game cuz the lines are supporting one another na kila kitu kina flow. Kwa wanaoelewa mpira tatizo kubwa la Yanga ni coaching.
 
Jukumu lake halikuwa SECURITY, yy alipaswa kuattack, security alikuwa BANGALA.

Unaona jinsi gani uelewa wako ulivyo mdogo?
Endelea na mambo mengine brother, huwezi kuelewa ninachoandika hapa.
 
Uchambuzi wako ni very poor!!!kwani chama huwa anapata mipira kutoka wapi??kiungo mshambuliaji kusubiri mipira kama target man ni uzamani wenzie huwa wanarudi nyuma kutafta mipira na kuanzisha mashambulizi,sasa yeye jana alikuwa anasubiri tu kina bangala wahangaike afu akipewa anaishia kukaa na mpira zaidi ya sekunde 3 anapokonywa,kama huna uwezo wa kukaa na mpira toa haraka.

Mambo ya kukaa na mali waachiwe kina chama na sakho kwa kuwa wana uwezo huo,yeye kazi yake ni kukunja bukta,tu na kutandika mishuti ya kuua magoli kipa.
 
Well said
 
Kuna mtu nilimwambia juzi, kuwa kama Aucho hachezi Waarabu wanatufunga hawa!
 
Nenda katafute kazi ya namba nane dimbani uje hapa kukosoa hicho ulichokizungumza.
 
Kaangalie game upya, afu tafuta kazi ya namba 8. Tunalaumu sana, ila hatujui tatizo, we unadhani wanaposema PENGO LA AUCHO limeonekana huyo AUCHO ANACHEZA NAMBA 10?

TUMIA AKILI.
PENGO LA AUCHO MAANA YAKE NAMBA 8 ALIYECHEZA HAKUCHEZA VIZURI NA NDIO TATIZO LILIPO
 
Ukisikia wafia dini ndo wewe Sasa. Yaani wewe hata upigwe mawe kama Stefano utaendelea kumtetea Aziz Ki utadhani ni Malaika. Aziz alipokea pasi 9, 4 toka Kwa Bangala, 3 toka Kwa Mudathiri na 2 toka Kwa Job na Mwamnyeto lakini zote alipoteza. Siyo Kila siku utakuwa na siku nzuri kazini, Jana Nabi alikuwa na siku mbaya kazini Kwa kumvumilia Aziz akidhani atabadilika Hadi dakika zaidi ya 60 yumo kwenye Mechi ambayo imemkataa.
 
Setup ya Mudathiri ilitoka kwa Morrison pia

Morrison angeingia mapema nadhani angekuwa na impact kuliko Azizi Ki japo naye Morrison kuna muda anazinguaga ila kwa jana alionesha umakini
Uko sahihi Sana kiuchambuzi.
 
Ukiacha issue za ushabiki maandazi, mkuu mpira unaujua haswa.
Kongole sana kwako
 
Ila ni kocha ndio aliyetoa hizo sababu na tena alisema ingetokea hajampanga Azizi Ki watu wangekuja na malalamiko kuwa kupoteza mechi kumesababishwa na kukosekana kwa Azizi Ki
 
To me, kama kuna namba nyingine kwa Muda, basi bora acheze no 6. Hakuna game Mudathir alicheza namba 8, Yanga ikapata matokeo mazuri.
Ko Aziz kii acheze no 8? Tatizo Aziz kii mshamuweka untouchable, lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchezaji kipenzi cha rais,unataka asafe kupambania mpira kama kina muda???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo muda ana utoa wapiii kwani??
 
Kwa ile mipira aliokua anaipata na kuipoteza tumlaumu nani mudathir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…