UT
Inakuaje tena Aucho anakumbukwa katikati ya msiba.
O si huwa wanasema hawana mchezaji tegemeo kuwa yeyote kwao anaweza kucheza na lisiwepo pengo.Nimeona post za wachambuzi ushabiki wanaochambua mpira kwa hasira baada ya kuona Yanga imepoteza mbele ya mwarabu (USM ALGER) kwa magoli ya mbili kwa moja.
Kila mchambuzi anatupa mzigo wa lawama kwa Azizi kii lakini hatujiulizi Azizi kii anapata mipira kutoka wapi??
Azizi kii alishindwa kuwalisha Kennedy musonda na Mayele kwa sababu alikuwa hapati mipira kwa wakati na ndiyo maana hatukuona pass mpenyezo kutoka kwa Azizi kii kwenda kwa musonda na Mayele.
Tatizo lilikua kwa namba nane (8) iliyochezwa na Mudathir Yahya wakati namba sita (6) uliochezwa na Yaniki bangala.
Asilimia kubwa ya mipira ikifika mbele kutoka kwa Bangala kuliko Mudathir Yahya Hana ubunifu wakuwahisha pass kwa wakati Kama ilivyo kwa Khalid Aucho au Salumu Abubakari "Sure boy".
Mudathir Yahya ni kiungo namba sita (6) kiuhalisia toka alivyokuwa Azam, ni mzito mno anapocheza namba nane (8).
Mudathir Yahya na Sure boy Bora Sure boy kucheza namba nane, Sasa hapo hakuna Sababu ya kuanza kumlaumu azizi kii wakati kiungo Cha Kati haswa namba nane kilikatikatika hakipekeki mipira kwa wakati.
Yanga Ina kikosi kipana lakini gape la Khalid Aucho lilionekana key passes kutoka kwa Aucho ni muhimu sana.
Inakuaje tena Aucho anakumbukwa katikati ya msiba.